Nina hiyo qualification je ninaweza kupata kazi nyumbani tanzania??naombeni ushauri nimechoka kuishi ugenini
Nina hiyo qualification je ninaweza kupata kazi nyumbani tanzania??naombeni ushauri nimechoka kuishi ugenini
Mkuu unaexprience kwenye field hiyo?
kaka labda upate kazi ukiwa hukohuko ndo wakuite! lakini ukija hapa uta hustle mpka basi! nina kaka yangu alitoka Philipines na qualification zake + experience but mpaka leo aliishia kuitwa shule ya secondary akafundishe computer, ana laani y? he did back in this country
Never say more than is necessary.
Welcome home, kazi utapata ila kwa muda gani na mshahara ndo challenge,
“If you think you can do it, or you think you can't do it, You are right"
qualification yako ni A+ pekee? what about N+ and other certification like CCNP, MCSE? kama ni hiyo moja tu we bora ubaki huko kama umepata bahati ukapata kazi huku wanaangalia zaidi vyeti kuliko uwezo wa mtu!!!
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
Nifafanulie kwanza A+ IT technician ndo nini? Unatofauti gani na technicians wa University of Dar es salaam computing centre?
Ukinifafanulia hayo naweza kukufikiria kukupa kazi!
ni qualification inayotolewa na microsoft,mtu mwenye hiyo qal ni mtaalama wa product za microsoft kama operating system,windows na application,vilevile ni mtaalam wa network,computer troubleshoot,server,etc
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
aje ajiajili kama sisi tulivyotoka nayo india ingawa tulipata kazi na badaye tumeamua kujiajili wenyewe
Njoo tu uje kukomaa kazi zipo ila za kutafuta na tochi ila usiweke guarantee kwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mwanangu...Issue ni kukomaa tu.
Nakushauri kabla hujarudi jaribu kusoma certification nyingine kama CCNA,MCSE at least ukija bongo hutapata shida but ukija na hiyo A+ haina deal sana
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Follow Us Here