Habari?Naomba msaada wa jinsi ya ku install Oracle 10g kwenye Windows 7.. Nilikuwa nimeinstall lakini kwa sasa nimeshindwa ku log in na kuna errors kibao.. Naomba msaada, hii ni kwa ajili ya kujifunzia tu...Errors zenyewe zilikua kama ifuatavyo:ORA-12560: TNS:protocol adapter error ", version 9.2.0,ORA-27101: shared memory realm does not exist,ORA-01034: ORACLE not available

Reply With Quote
Follow Us Here