Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: "eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      mbasajohn's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2009
      Location : Mwanza
      Posts : 245
      Rep Power : 568
      Likes Received
      30
      Likes Given
      9

      Default "eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

      kwakweli natamani sana kufanya shoping kwa hawa Jamaa " eBay" lakin sina uhakika kuhusu usalama wa account yangu pale nitakapoweka details zangu kwenye website yao, na vile vile sina uhakika kuhusu kama ntapata kitu nachokitaka pindi ntakaponunua.
      Naombeni msaada kwa mtu yeyote ambaye alishanunua kitu kutoka eBay au amazon.
      naomba kuwasilisha.
      don't cast a honest person for a villain accusation

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Mlango wa gunia's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 124
      Rep Power : 540
      Likes Received
      10
      Likes Given
      7

      Default Re: "eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

      Fungua paypal account na sio kununua ebay moja kwa moja.Hivyo utakuwa ukiwalipa kupitia hiyo account yako ya paypal ambayo utakuwa umei link na card yako.(account yako)

    4. #3
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: "eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

      Umesomeka mkuu!

      Quote By Mlango wa gunia
      Fungua paypal account na sio kununua ebay moja kwa moja.Hivyo utakuwa ukiwalipa kupitia hiyo account yako ya paypal ambayo utakuwa umei link na card yako.(account yako)
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    5. #4
      mbasajohn's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2009
      Location : Mwanza
      Posts : 245
      Rep Power : 568
      Likes Received
      30
      Likes Given
      9

      Default Re: "eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

      Quote By Manyanza
      Umesomeka mkuu!
      asante kwa maelezo, lakin nimejaribu kufungua paypal account na nimeshindwa kutokana na namba yangu ya simu kutotambulika japo niliinclude +255. Nifanyaje?
      don't cast a honest person for a villain accusation

    6. Miaka 50

    Similar Topics

    1. msaada plz. nataka kununua laptop.
      By honesty in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 20
      Last Post: 15th February 2011, 17:38
    2. Msaada! nataka kununua GPS/GIS data collection
      By Mpangamji in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 3
      Last Post: 9th February 2011, 17:12
    3. Kikwete alisema mara nyingi "Nataka nikumbukwe"
      By Candid Scope in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 15th January 2011, 00:49
    4. "Nataka niwe Fisadi!!!"
      By Choveki in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 8
      Last Post: 5th November 2009, 17:49

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...