Kwa yeyote anayejua mahali router znapouzwa kwa bei nafuu anitaarif location hyo. Nataka nijipatie 1.
Kwa yeyote anayejua mahali router znapouzwa kwa bei nafuu anitaarif location hyo. Nataka nijipatie 1.
kuna aina nyingi za router,specify
Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!
Ni sawa na kusema wataka gari anaejua yanapouzwa anitaarifu!!!uwanja mpana sana
....au kama hufahamu vyema kuhusu router unaweza kueleza dhumuni lako na utaelekezwa type na model inayokufaa.
nataka iwe kwa matumiz ya nyumbani, iwe angalau ya 4 ports.
@ino, hebu naomba niorodheshe baadh ambazo ni 4 home usage. Manake cpo familiar xana na routers
router ninin et kaka?
"NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates
Kwa kifupi router ni network device ambayo inafanya kazi ya kufilter na kudirect data packets kwenda ktk aimed system(computer). Hufanya hvyo kwa kusoma destination adres ktk data packets inazopokea. Cjui umenpata what router realy is.?
Katafute D-link, maduka kibao tu yanayouza computers unaeza pata. kama upo arusha nenda Cyberworl, JR electronics, compucat
nunua dlink wireless router ya 8ports itakufaa zaidi kwa laptop utaunga kwa wireless na device nyingine kama printer na desktop ndio unaweza tumia cable, price inategemea na muuzaji ipo kati ya 120000 hadi 150000
Kuna 3G routers zipo airtel zantel na voda pia zitamfaa!!!!!
Hzo za 3g ndo zinauzwa mahela mangapi..?
Nenda ideal computers wapo makutano ya moro road na liby au nenda sunrise wapo mta wa kongo
Mkuu mimi ninayo ya wireless na inaport 4 kama vipi tuwasiliane
Samahani wakuu. Je internet Tanzania inapatikana kwa cable? Nimekuwa nikitumia internet ya vodacom kwa kutumia modems za kuweka sim card. Hapa nilipo napata internet kwa cable. Kutoka hapo ndipo nimeunganisha modem yangu yenye router ambapo napata wifi kwa laptops na vifaa vingine vya wifi.
Semper fi!
thanx osam, nlshapata router ya 4 ports.
@dingswayo. Kaka kama nimekuelewa vzur unamaanisha kupata service ya cable, ni kwamba ttcl ndo wanasupply broadband kwa cable.
Follow Us Here