Jf
Naomba maelekezo juu ya kuanzisha account ya bank online na uweza kuingiza fedha online na kuweza kutoa fedha online.Thanks
Jf
Naomba maelekezo juu ya kuanzisha account ya bank online na uweza kuingiza fedha online na kuweza kutoa fedha online.Thanks
Check Me Out At: http://www.saydfuad.wordpress.com <-My VFX Studio
Yeah, mi kama mteja wa benki ya NBC na CRDB na tayari nishajisajiri na Online banking, huduma walizonazo ni kucheck balance,kufanya intercash deposit etc. Kwa msaada na maelezo zaidi kuhusu online banking (and if ur interested with these banks), bofya hapa chini.
National Bank of Commerce
www.crdbbank.com
AU fika ktk matawi ya mabenki utapata details za uhakika.
Kiufupi,gharama za kujiunga na online banking kwa NBC ni TZS50,000 na CRDB ni TZS30,000! After three weeks since registration, password na username zako zinakuwa zimeshatoka na bada ya hapo utaendelea kupeta na banking transaction ukiwa home or anywhere. Kwa kweli ni nzuri sana kwa dharura,inaokoa muda,.....you bank it anytime,anywhere.
Ila sidhani kama unaweza kuingiza pesa Online! wala kutoa ila unaweza kuhamisha pesa,Kuchek Ballance yako na kuprint bank Statement!
Mkuu unataka kuwa full Digital! CRDB wanayo ila mimi imenishinda coz hawana ushirikiano nimekutana na Matatizo kibao but nawaandikia mail unaambiwa haijawa delivered kwa ajili ya sekurity!, Sasol kwel !
be the changes that you want to see......
Asante wakuu kwa majibu mazuri yenye ladha tamu.Nitajaribu kwasiliana nao.Lakini vipi kuhusu PayPall? Ina lolote linalohusiana na online banking za Tz?
haya ndo matatizo ya bongo, tunaanzisha kitu kwa kuiga nje wakati hatuna utaalam wa kukiendeleza au kukihudumia...
unatuma querry online haujibiwi, unatuma pesa zinapokwenda hazifiki af kwako zinapungua af wanakwambia online banking.
Yeah hili swala la PayPal linaniumiza kichwa....Hizi bank za bongo haziangalii dunia ipo wapi wao wanaleta technology za zamani.
haya mambo ya Onlinebanking yapo tangu miaka ya 1990 kwa wenzetu, eti leo ndio tunayasikia tz. kuhusu paypal kenya tayari wana tawi sijui tz itakuwa lini na mabenk hayaoni hili may be baada ya miaka 10 mbele.
A hackerwith a new toy,the first thing he'll do is take it apart to figure out how it works.
Follow Us Here