Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200
Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200
Kama uko dar npe no yako kwesho nikupe'
Ingia kwenye website ya HP kisha nenda download and support nadhani utaweza kupata hizo drivers sidhani kama zina ukubwa sana...
Hujasema unataka za OS gani
nenda hapa HP LaserJet 1200 Printer series*-* Download drivers and software - HP Business Support Center
chagua Os yako pakua driver kisha simika.
tuwe na tabia ya kutoa feedback jamani kuokoleana muda, vp mkuu umefanikiwa???
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
mi natafuta za hp deskjet 2400
Only those who risks going too far knows how far they can go.
Follow Us Here