Here aim mkuu, and that is what you have to do
kwanza nenda hapa
Download - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client pakuwa uttorent kisha install katika pc yako.
Kisha nenda hapa
Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB soma maelezo yake na reviews ukiridhika click "download this torrent",automatic ita kuprompt kuchagua kudownload na uttorent, kubali na uttorent itapakuwa hiyo Activator.
Baada ya kupakuwa nenda ktk hiyo software kisha click kuifungua na itakuletea kitu kama hii na music kwa mbali

Just click Activate, itafanya mambo yake kisha pc ita restart, ikiwaka
windows activated
Angalizo: fanya backup ya vitu vyako in case anything going wrong, pia baadhi ya antivirus zinaweza kuiblock hivyo turn it off
Follow Us Here