Samahani wadau,nimenunua modem ya vodacom lakini naona ni kama wame nifanyia uhuni maana kwenye windows inafanya kazi vizuri ila kwenye linux haifanyi kazi kabisaaaaa!
Naomba mwenye kuweza ku-unlock code za ZTE anisaidie niweke laini ingine
Regards;
Speaker

Reply With Quote

Follow Us Here