JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 43
  1. #1
   Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 5,722
   Rep Power : 8467
   Likes Received
   977
   Likes Given
   255

   Default Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   @ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari ya kufika kilele cha Uhuru niliona bendera ya CHADEMA ikipepea.   Kwa mujibu wa taarifa nilizopata toka kwa wapagazi wanaosindikiza wageni kupanda Mlima Kilimanjaro wanaojulikana miongoni mwao kama "wagumu", kutokana na kazi ngumu wanayofanya kusindikiza wageni juu ya mlima huu maarufu, shughuli za CHADEMA zimeanza juu ya Mlima Kilimanjaro miaka mitatu iliyopita.

   CHADEMA hawana tawi juu ya Mlima Kilimanjaro ila nilichoshuhudia mimi na jitihada za wana-CHADEMA kupeperusha bendera ya chama chao kwenye sehemu iliyo juu kuliko zote Tanzania. Kambi ya Barafu ipo urefu wa mita 4,600 juu ya usawa wa bahari.

   Posted by Madaraka at 7:08 AM


  2. #2
   Xuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2010
   Location : Local Site
   Posts : 578
   Rep Power : 733
   Likes Received
   106
   Likes Given
   180

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Great!
   "None but ourselves can free our minds"
   -Bob Marley

  3. TUKUTUKU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th September 2010
   Location : ISELAMAGAZI
   Posts : 11,689
   Rep Power : 315679181
   Likes Received
   3870
   Likes Given
   1403

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Safi sana ipo siku CHADEMA itasambaa kila kona ya nchi!!!

  4. #4
   Magezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2008
   Posts : 2,669
   Rep Power : 1151
   Likes Received
   46
   Likes Given
   54

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   si haba

  5. PakaJimmy's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,212
   Rep Power : 16106704
   Likes Received
   8105
   Likes Given
   3624

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Quote By TUKUTUKU View Post
   Safi sana ipo siku CHADEMA itasambaa kila kona ya nchi!!!
   Freedom is coming tomorrow!
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  6. #6
   Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 15,704
   Rep Power : 128437
   Likes Received
   2874
   Likes Given
   1386

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   napata amani sana na mwedno huu..nina uhakika 2015 kura hazitaibiwa kama hili jizi lilivofanya this time
   ______________________________ _
   Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

  7. #7
   MTWA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2009
   Location : Somewhere in the Universe
   Posts : 845
   Rep Power : 743
   Likes Received
   42
   Likes Given
   20

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   It is a good move and lets go ahead.

   Big up wapiganaji wooooote!
   PAMOJA TUNATEMBEA

  8. #8
   Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,103
   Rep Power : 85914998
   Likes Received
   1822
   Likes Given
   914

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Kazi kweli kweli!
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  9. #9
   STEIN's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2010
   Location : Arusha
   Posts : 1,750
   Rep Power : 872
   Likes Received
   531
   Likes Given
   562

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Hii ni habari njema kwa waTZ na wanamabadilko kwa ujumla.

   Peoples Power.

  10. October's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2009
   Posts : 2,120
   Rep Power : 993
   Likes Received
   73
   Likes Given
   81

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Na CCM WALIVYO WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUKOSA UBUNIFU WATAIGA, WEE SUBIRI TU UONE.
   You will only be remembered for two things: the problems you solved or the ones you created.” -- Mike Murdock

  11. #11
   Mwiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Posts : 6,219
   Rep Power : 2485
   Likes Received
   914
   Likes Given
   242

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.
   Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

  12. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,106
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4055
   Likes Given
   2438

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Quote By Mwiba View Post
   Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.
   CUF ni chama gani tena? Kile cha waislamu kule visiwani

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  13. The Dreamer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2009
   Location : Sky
   Posts : 1,282
   Rep Power : 856
   Likes Received
   9
   Likes Given
   1

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Hii imetulia. Kila heri wapiganaji na heri ya Christmas
   No society can surely be flourishing and happy, of which the far greater part of the members are poor and miserable-ADAM SMITH (A pioneer Political economist)

  14. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,078
   Rep Power : 22226
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   1044

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Majuha nao wataiga
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  15. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 9,122
   Rep Power : 104438870
   Likes Received
   4343
   Likes Given
   22318

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Safi sana

  16. superfisadi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2009
   Posts : 552
   Rep Power : 694
   Likes Received
   43
   Likes Given
   1

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   kama imefika kileleni ni ishara ya ushindi kitakuwa juu si unajua mt kilimanjaro is the roof of africa hakuna wa kukishusha ila mungu mwenyewe ccm watangoja sana

  17. Monstgala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2009
   Posts : 989
   Rep Power : 1966
   Likes Received
   606
   Likes Given
   364

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Quote By Mwiba View Post
   Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.
   Vyama vipo kwa ajili ya uchaguzi ??!!!...Ukomo wako wa kufikiria ndo unaishia hapo?

  18. #18
   Mbopo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2008
   Posts : 2,537
   Rep Power : 1160
   Likes Received
   386
   Likes Given
   14

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   What is a big deal about hoisting a flag at the mountain top. How does the party benefit out of this? let's stop being petty or stooping too low!

  19. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 5,722
   Rep Power : 8467
   Likes Received
   977
   Likes Given
   255

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Quote By Mbopo View Post
   What is a big deal about hoisting a flag at the mountain top. How does the party benefit out of this? let's stop being petty or stooping too low!
   you dont need to show the world your arrogance,You can just read without making a comment, YOU HATER

  20. Ndallo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2010
   Location : LaRusa
   Posts : 5,411
   Rep Power : 6695
   Likes Received
   1981
   Likes Given
   597

   Default Re: Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

   Quote By October View Post
   Na CCM WALIVYO WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUKOSA UBUNIFU WATAIGA, WEE SUBIRI TU UONE.
   Kweli wala hujakosea ndio zao hizo hawana ubunifu! shame on them CCM!
   '' Mtu ni Utu sio Kitu''


  Page 1 of 3 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Noah NNE kuupaisha Mlima KILIMANJARO
   By Inkoskaz in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 20
   Last Post: 3rd September 2012, 12:37
  2. Sipigii kura mlima Kilimanjaro
   By hubby in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 68
   Last Post: 13th November 2011, 12:20
  3. Picha za mlima Kilimanjaro toka angani
   By El Toro in forum Jamii Photos
   Replies: 30
   Last Post: 1st November 2011, 12:16
  4. Walemavu kupanda mlima kilimanjaro
   By Steven Sambali in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 1st October 2008, 02:35
  5. Mlima Kilimanjaro wazua mzozo
   By X-PASTER in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 9
   Last Post: 27th September 2008, 04:22

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...