Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Je Kikwete ni mdini?

    Report Post
    Page 2 of 20 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 390
    1. #1
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Je Kikwete ni mdini?

      Mods, na wana JF,

      Haitakuwa busara kwa thread hii kuipeleka sehemu ya dini, inajulikana sehemu hiyo haifikiwi na watu wengi hapa JF ikiwa mimi mmoja wapo.

      Ni matumaini yangu kuweza kuiaccess hii thread na kuona mijadala ikichangiwa ili kuweza kujua ukweli.

      Sitegemei kuwa JF/Mods wapo kwa ajili ya kuchochea chuki dhidi ya Serikali iliyopo madarakani kwani kama itakuwa ni hivyo basi wanafanya jambo la hatari sana linaloweza kutugharimu. Tumeona ile thread ya OIC ikiachiwa kuchangiwa na kila mtu na mwenye kila tusi dhidi ya dini ya kiisamu na kejeli akiachiwa kwa marefu na mapana. Kwahiyo sioni sababu ya hii thread ya kisiasa zaidi kutupiwa huko kusikojulikana.

      Mwisho napenda kutoa angalizo:

      Sio haki kuhamisha thread ya mtu na kuipeleka sehemu asiyokuwa na access nayo. Hapa JF ni sehemu ya kutoa mawazo na kila mmoja aheshimiwe mawazo yake na sio kufungwa na kutupwa kapuni.

      Kuna tetesi Zimeenea mtaani kuwa baada ya JK kuingia madarakani aligomea ruzuku iliyokuwa ikitolewa na Serikali kuendesha makanisa pamoja na taasisi zinazoendeshwa na makanisa katoliki nchini kama shule, hospitali na vyuo. "The Government shall provide financial assistance to Church institutions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"

      source
      :The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3 (attached herewith)

      Nasikia JK aliwaambia kuwa nchi hii haina dini na itakuwa ubaguzi kuwapa ruzuku watu wa dini moja na kuwaacha wa dini nyinginezo akatolea mfano kuna waislam, wabudda, masingasinga, wahindu na wasiokuwa na dini je hao hawana haki ya kupewa ruzuku? na serikali ikitoa ruzuku kwa hawa wote itawezaje kujiendesha? Basi bora mkose wote. Hapo naona JK aliona mbali sana ila hakujua kama anajiharibia yeye na chama chake. Na ndio maana kwa kutumia mlango wa nyuma kuna chama kikasimamisha watumishi wa Mungu kwa wingi na kufanikiwa kupenya kila pembe ya Tanzania. Inasemekana Kanisa liliplay part kubwa kwa mafanikio ya chama fulani. Na hizo zilikuwa ni hasira za watumishi wa kanisa.

      KUNA TETESI KUWA WAFUATILIAJI WA MAMBO WAMEITHIBITISHIA SERIKALI UBADHIRIFU MKUBWA WA RUZUKU ILIYOKUWA INATOLEWA NA SERIKALI SAMBAMBA NA MISAMAHA YA KODI. MISAMAHA HII YA KODI NI ILE YA UAGIZWAJI MAGARI NA VITU MBALIMBALI KUPITIA TRUSTEES ZA MAKANISA. NA TANGU KUANZA KUBANWA KUMEKUWA NA UAIGIZAJI WA VITU MDOGO TOFAUTI NA HAPO MWANZO, MAANA INASEMEKANA WAJANJA WALIKUWA WANATUMIA MWANYA HUO KUJINUFAISHA.

      Ukiunganisha picha itaona hapo ndio chanzo hasa cha timbwili hili mnaloliona leo lililo vikwa ngozi ya vyama vya siasa ( upinzani ). Hapo awali Wakristo na CCM walikuwa chanda na pete. Ilikuwa ni kosa la jinai kwa mkristo mwenye imani kuwa upinzani ndio maana hata viongozi wao wengi mwaka 2005 walisema JK "chaguo la Mungu"

      Leo hii ukitia pua tu JF na maeneo mengi kwenye mitandao na mitaani utakutana na shutuma kuwa JK ni Mdini, lakini hawatoi facts za udini wake.

      Je, JK ni mdini?

      Orodha ya Baraza la Mawaziri na Manaibu wa Wizara 26 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2010 - 2015

      1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe (Mkristo)
      2. Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira (Mkristo)
      3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
      4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
      5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa (Mkristo)
      6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi (Mkristo)
      7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu (Mkristo)
      8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika (Mkristo)
      9. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri (Mkristo)
      10. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii)Kassim Majaliwa -
      11. Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
      12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu (Mkristo)
      13. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
      14. Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
      15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
      16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani (Mkristo)
      17. Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe (Mkristo)
      18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
      19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
      20. Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo (Mkristo)
      21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro (Mkristo)
      22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
      23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga(almaaruf Mawe Matatu) (Mkristo)
      24. Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka (Mkristo)
      25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye (Mkristo)
      26. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige (Mkristo)
      27. Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja (Mkristo)
      28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
      29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli (Mkristo)
      30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe (Mkristo)
      31. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
      32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
      33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami (Mkristo)
      34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu (Mkristo)
      35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa (Mkristo)
      36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo (Mkristo)
      37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
      38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya (Mkristo)
      39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka (Mkristo)
      40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga (Mkristo)
      41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
      42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
      43. Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi (Mkristo)
      44. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala (Mkristo)
      45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta (Mkristo)
      46. Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
      47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
      48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza (Mkristo)
      49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya (Mkristo)
      50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwinge (Mkristo)

      Jumla yote ni 50 kati yao wakristo 32 na waislam 18.

      Wakristo 64%
      Waislam 36%

      Ukiangalia wakuu wa mikoa na wilaya utaona wakristo ni wengi zaidi ya waislam sasa sijui na sifahamu huo udini wa JK upo wapi???

      Mwenye data tafadhali azilete jamvini.

      Kuna habari za hivi punde ni kuwa kuna makampuni zaidi ya 80 ya clearing and forwarding yamefungiwa kwa sababu mbalimbali kubwa hasa ubabu mashi. Inajulikana kwenye sekta hii watu wa kutoka mkoa fulani wameishikilia kwa asilimia zaidi ya 80. Inasemekana sifa ya watu wanaotoka huko ni ujanja mwingi na ni wakwepaji wakubwa wa kodi na walitumia vizuri sana nafasi ya kuwa na udugu kuanzia uwaziri mpaka kamishna wakati wa Che Nkapa.

      Ushauri kwa JK, Mkuu wee endelea kukaza buti watu walipe kodi kwa manufaa ya nchi usijali tunakusapoti kwa maana hawana shukrani Serikali imewaachia wamekula sana kodi kupitia ukwepaji na misamaha hewa lakini wamekuwa mbele kunyea kambi.
      Last edited by Sokomoko; 4th December 2010 at 16:06. Reason: update
      Makame likes this.
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7687
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Abdulhalim
      Acha inferiority complex..wewe na wenzako kama mliona usilamu unatukanwa mlibonyeza kitufe kuwaambia MODS? Mliwaarifu wakakataa kurekebisha ? Sasa kama hamkufanya hivyo kuwalaumu MODS waonekane kama ni maadui wa Usilamu huoni kama ni kuleta mfarakano? Kama wewe na wenzako mnaona JF inapinga usilamu, tangia muanze kulalamika mbona bado mpo? Nyie ni wanafiki wakubwa na ningekuwa MOD mngechezea server ban nyote nyie.
      Mimi sibishani na muimba nyimbo za mipasho!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

    4. #22
      Masanilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2007
      Location : Swat valley, Keta Keta
      Posts : 19,058
      Rep Power : 5467
      Likes Received
      3486
      Likes Given
      1900

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By X-PASTER;1333048[B
      ]Ukiwapa ukweli wanakimbilia propaganda za kusema kuwa Waislam hawajasoma.[/B].. Wakati mwingine utasikia ooh nendeni shule kwanza! Propanda zimewachukuwa kiasi wanajiona kuwa wao ndio wasomi peke yao...!
      Hapa ulikuwa unaelekea kabisa kutoa pumba!

      Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
      CCM is enemy of GOD

    5. #23
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Quinine
      Tutolee udini wako usio na mbele wala nyuma badala ya kufikiria maendeleo unakazana kupost mambo ya udini utakufa nao ukitaka ondoka Tanzania hamia saudia.

      Wewe unataka nilete maneno ya kutukana serikali ndio usifie? acheni hizo nchi haiendeshwi kwa chuki.
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    6. #24
      Quinine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2010
      Posts : 3,698
      Rep Power : 1200
      Likes Received
      380
      Likes Given
      114

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Inferiority complex, tell your fellow muslim to go back to school stop madrasa otherwise accept any kind of job you will be awarded.
      Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini imechuja, mwisho wameibuka kwa matusi.

    7. #25
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,740
      Rep Power : 3770
      Likes Received
      1200
      Likes Given
      559

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By X-PASTER
      Mimi sibishani na muimba nyimbo za mipasho!
      Of course hili ndio jibu nililolitegemea kutoka kwa paster, no originality, pumba kwa kwenda mbele.
      Moola's the motive

    8. Miaka 50

    9. #26
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Quinine
      Inferiority complex, tell your fellow muslim to go back to school stop madrasa otherwise accept any kind of job you will be awarded.
      Sijalalamika kwanini waislam wamepewa wizara chache nimeonyesha kuwa JK sio mdini ila tatizo kabana misamaha iliyokuwa inatumika kinyume na malengo kwenye makanisa na ile ruzuku serikali iliyokuwa inaipa kanisa ambayo imekoma ndio sababu ya yeye kuitwa mdini na kujengewa chuki hapa JF.

      Pia nimeelezea jinsi chuki zilivyopandikizwa especial makanisani maana huyu jamaa 2005 walimtaja kama chaguo la "Mungu" lakini 2010 wakakaa kimya kwa kuwa biashara zao zimeshtukiwa.

      Pia nikaenda mbali nikasema zamani CCM na Mkristo ni kama Chanda na pete ila Kanisa kupitia kile chama chetu kwa kunyimwa ruzuku na serikali kubana misamaha ya kodi isiyo na tija ikakisaidia kile chama chetu ambacho kilisimamasha watumishi wa kiroho wengi kuliko chama chochote.

      Nadhani umeelewa wewe ndio unahitaji kurudi shule inaonyesha ulidumaa when u were under 5 na akili yako ikaduma.
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    10. #27
      imma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2009
      Posts : 421
      Rep Power : 584
      Likes Received
      15
      Likes Given
      13

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Sokomoko
      Wewe unataka nilete maneno ya kutukana serikali ndio usifie? acheni hizo nchi haiendeshwi kwa chuki.
      Ila inaendeshwa kwa elimu ya Madrasa?!?!?!.

      A question that sometimes drives me hazy: am I or are the others crazy?

    11. #28
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By X-PASTER
      Ukiona thread inapelekwa haraka haraka kwenye jukwaa la dini ujuwe wenyewe hawajipenda, na pili kidogo wamekuheshimu otherwise wangeifutilia mbali... pole sana mkuu!
      Mkuu nilipobold panahitaji ufafanuzi toka kwako na baadae nitaulekeza kwa Mods. Ina maana JF siyo huru?, ina maana sasa JF ni state organ?, ina maana sasa JF tuwe tunasifia tu?, ina maana JF si mahala salama kwa wenye kupenda kutojulikana?, ina maana gani hasa na hao wenyewe ni nani?. Mimi kila siku nimekuwa nikiamini JF is here for pro bono. Ndiyo maana mijadala mikubwa ya kitaifa imeibukia kutoka JF na matunda yake tumeyaona. MODS NAOMBENI UFAFANUZI KWENYE HILI.

    12. #29
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7687
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Rev Masanilo
      Hapa ulikuwa unaelekea kabisa kutoa pumba!
      Kwani ulikuwa hujui kuwa na wewe humo!?
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

    13. #30
      Quinine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2010
      Posts : 3,698
      Rep Power : 1200
      Likes Received
      380
      Likes Given
      114

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Sokomoko
      [COLOR=blue]Sijalalamika kwanini waislam wamepewa wizara chache nimeonyesha kuwa JK sio mdini ila tatizo kabana misamaha iliyokuwa inatumika kinyume na malengo kwenye makanisa na ile ruzuku serikali iliyokuwa inaipa kanisa ambayo imekoma ndio sababu ya yeye kuitwa mdini na kujengewa chuki hapa JF.[COLOR]
      Namba ya waislamu na wakristo si kigezo kuwa JK hana udini, inawezekana kakosa waislamu wenye elimu na ujuzi wa wizara husika au ulitaka amweke Profesa Maji marefu kwenye wizara ya Afya ndipo uridhike. inawezekana kawaweka waislamu kina Sophia Simba akaona akiongeza wengine ataboa.
      Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini imechuja, mwisho wameibuka kwa matusi.

    14. #31
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7687
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Abdulhalim
      Of course hili ndio jibu nililolitegemea kutoka kwa paster, no originality, pumba kwa kwenda mbele.
      Hakuna hanaye kuweza weye, una busara sana weye! Hongera sana!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

    15. #32
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7687
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Hofstede
      Mkuu nilipobold panahitaji ufafanuzi toka kwako na baadae nitaulekeza kwa Mods. Ina maana JF siyo huru?, ina maana sasa JF ni state organ?, ina maana sasa JF tuwe tunasifia tu?, ina maana JF si mahala salama kwa wenye kupenda kutojulikana?, ina maana gani hasa na hao wenyewe ni nani?. Mimi kila siku nimekuwa nikiamini JF is here for pro bono. Ndiyo maana mijadala mikubwa ya kitaifa imeibukia kutoka JF na matunda yake tumeyaona. MODS NAOMBENI UFAFANUZI KWENYE HILI.
      Ndio ivyo ivyo hakuna mabadiliko ya sentensi hapo!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

    16. #33
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Quinine
      Namba ya waislamu na wakristo si kigezo kuwa JK hana udini, inawezekana kakosa waislamu wenye elimu na ujuzi wa wizara husika au ulitaka amweke Profesa Maji marefu kwenye wizara ya Afya ndipo uridhike. inawezekana kawaweka waislamu kina Sophia Simba akaona akiongeza wengine ataboa.
      Naomba rejea mada kisha toa hoja ya udini wa kikwete sio unakuja na pumba zako hapa. Kuna waislam wenye heshima na kuheshimika wenye elimu kubwa kuliko huyo slaa hapa Tanzania. Ila Kikwete yeye kwa kuwa sio mdini hakuteua watu kwa dini zao bali kwa rekodi zao na kutokana na mapendekezo. Na zaidi pengine kisiasa zaidi na kwa kuwa sheria inamruhusu "kwa sasa" basi ni haki yake ila kumwita mdini mnamuonea.

      Nategemea ujibu hoja kwa hoja usichomekee utumbo wa kuku sie huwa tunautupa
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    17. #34
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Quinine
      Kama mlijenga shule mkanyang'anywa ni nani mjinga kati ya mimi na wewe, kalagabaho hamieni Yemen nyambaffffff makubwa nyie.
      Hiyo sio hoja jenga hoja kijana mimi nimekuolea dada yako nimemsilimisha na nimesha zaa nae sioni sababu ya wewe kunichukia wakati watoto wangu wanakuita mjomba na ni sawa na mama yao tu maana mjomba ni mama! Kwahiyo we mama wa watoto wangu kiimani jibu kwa hoja acha porojo.
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    18. #35
      Mwanamageuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Baitul Lahm
      Posts : 1,175
      Rep Power : 673
      Likes Received
      81
      Likes Given
      211

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Sokomoko
      Wewe unataka nilete maneno ya kutukana serikali ndio usifie? acheni hizo nchi haiendeshwi kwa chuki.
      hapa ndipo watu wenye akili wanapotaka tuwe na si kinyume na hapo. Bali wale wanaotaka kwa hali zote madaraka, haiwajalishi tukichukiana na kutoana roho!
      "...If crime fighters fight crime and fire fighters fight fire, what do freedom fighters fight?"

    19. #36
      Mwanamageuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Baitul Lahm
      Posts : 1,175
      Rep Power : 673
      Likes Received
      81
      Likes Given
      211

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Sokomoko
      Naomba rejea mada kisha toa hoja ya udini wa kikwete sio unakuja na pumba zako hapa. Kuna waislam wenye heshima na kuheshimika wenye elimu kubwa kuliko huyo slaa hapa Tanzania. Ila Kikwete yeye kwa kuwa sio mdini hakuteua watu kwa dini zao bali kwa rekodi zao na kutokana na mapendekezo. Na zaidi pengine kisiasa zaidi na kwa kuwa sheria inamruhusu "kwa sasa" basi ni haki yake ila kumwita mdini mnamuonea.

      Nategemea ujibu hoja kwa hoja usichomekee utumbo wa kuku sie huwa tunautupa
      Hawana hoja wala sera hao... Wanaimbishwa nyimbo wasizozijua. Wasikupotezee muda kujibizana nao, nilikupa taarifa mapema sana-sana watatukana maana ndipo upeo wao unapoishia. Kweli nawakubali usomi wao hao wasomi wao NI WA KUKARIRISHWA BILA KUHOJI, wala kutafakari si wote lakini. wamo miongoni mwao wenye kuuona ukweli na kutazama mbali lakini wachache sana hao. Suala muhimu ni kupata ufumbuzi na kutolidharau hili.

      Mkuu wa kaya hakuwa mjinga wala hakupewa taarifa potofu. Tunapaswa kubadilika, lakini unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kula sacramenti TUMEKWISHA... unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kuitikia AMEN tukajikuta tunaitikia hivyo hata kwenye ya KAIZARI baaasi TANZANIA KUSHNEHI Margiyo
      "...If crime fighters fight crime and fire fighters fight fire, what do freedom fighters fight?"

    20. #37
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Tuupitie kidogo mkataba ili wenzetu wajenge hoja kuliko kutoa pumba
      Attached Thumbnails            
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    21. #38
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,912
      Rep Power : 951
      Likes Received
      95
      Likes Given
      25

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Mwanamageuko
      Hawana hoja wala sera hao... Wanaimbishwa nyimbo wasizozijua. Wasikupotezee muda kujibizana nao, nilikupa taarifa mapema sana-sana watatukana maana ndipo upeo wao unapoishia. Kweli nawakubali usomi wao hao wasomi wao NI WA KUKARIRISHWA BILA KUHOJI, wala kutafakari si wote lakini. wamo miongoni mwao wenye kuuona ukweli na kutazama mbali lakini wachache sana hao. Suala muhimu ni kupata ufumbuzi na kutolidharau hili.

      Mkuu wa kaya hakuwa mjinga wala hakupewa taarifa potofu. Tunapaswa kubadilika, lakini unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kula sacramenti TUMEKWISHA... unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kuitikia AMEN tukajikuta tunaitikia hivyo hata kwenye ya KAIZARI baaasi TANZANIA KUSHNEHI Margiyo
      Nimekubaliana na wewe mzee na nikakupa thanks mie mbona najua siku nyingi sana kuwa hapa JF unatakakiwa uje na Thread ya kuiponda serikali na chama chake au thread za mapenzi na za kukisififia chama chetu utapigwa senkyu kama mvua halafu itachangiwa kwa nguvu zote tena sometimes nasikia hupigiana simu "aisee meku ingia JF kuna sred nsuri sana baangu tushambulie" inji haiendeshwi kivyo MAngi zangu
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    22. #39
      Masanilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2007
      Location : Swat valley, Keta Keta
      Posts : 19,058
      Rep Power : 5467
      Likes Received
      3486
      Likes Given
      1900

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Mwanamageuko
      Hawana hoja wala sera hao... Wanaimbishwa nyimbo wasizozijua. Wasikupotezee muda kujibizana nao, nilikupa taarifa mapema sana-sana watatukana maana ndipo upeo wao unapoishia. Kweli nawakubali usomi wao hao wasomi wao NI WA KUKARIRISHWA BILA KUHOJI, wala kutafakari si wote lakini. wamo miongoni mwao wenye kuuona ukweli na kutazama mbali lakini wachache sana hao. Suala muhimu ni kupata ufumbuzi na kutolidharau hili.

      Mkuu wa kaya hakuwa mjinga wala hakupewa taarifa potofu. Tunapaswa kubadilika, lakini unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kula sacramenti TUMEKWISHA... unyenyekevu wetu ukizidi ule wa kuitikia AMEN tukajikuta tunaitikia hivyo hata kwenye ya KAIZARI baaasi TANZANIA KUSHNEHI Margiyo
      Waambie kabisa hao wanakaririshwa kiarabu bila kuambiwa ni aya za kishetani!

      Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
      CCM is enemy of GOD

    23. #40
      Quinine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2010
      Posts : 3,698
      Rep Power : 1200
      Likes Received
      380
      Likes Given
      114

      Default Re: Je Kikwete ni mdini??????????

      Quote By Sokomoko
      Hiyo sio hoja jenga hoja kijana mimi nimekuolea dada yako nimemsilimisha na nimesha zaa nae sioni sababu ya wewe kunichukia wakati watoto wangu wanakuita mjomba na ni sawa na mama yao tu maana mjomba ni mama! Kwahiyo we mama wa watoto wangu kiimani jibu kwa hoja acha porojo.
      Hapo ndipo elimu yako ndipo ilipofikia mnawaza kuoa na kuzaa tu, tukiwaambia muache madrasa mnatuona wabaya nendeni shule labda miaka 50 ijayo mnaweza kutufikia.
      Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini imechuja, mwisho wameibuka kwa matusi.

    Page 2 of 20 FirstFirst 123412 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Ni kweli kikwete sio mdini?
      By Jile79 in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 37
      Last Post: 29th October 2010, 15:52
    2. Kikwete ni mdini?
      By Mzito Kabwela in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 10
      Last Post: 28th October 2010, 19:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...