Re: Migiro for Presidency?
I don't have anything agaist Dr. Migiro, lakini huyu mama hana credential zozote zile za kuongoza Tanzania. Kazi za UN, IMF sijui World Bank ni base on symbolism and nothing more nothing less. Tunataka mtu ambae anafahamu ni jinsi gani tutaondoa umasikini, hatutaki mtu yoyote mwenye propaganda idea kutoka either UN, IMF or World Bank. Sababu wana formula moja tuu nayo ni Aid=prosperity. Hii formula imefail JK amejaribu, Mwinyi ameijaribu, Mkapa ameijaribu na Baba wa Taifa ndio muasisi wa formula hii.
Tunataka kiongozi ambae "atashona suit kutokana na ukubwa wa kitambaa" (Mwalim). Maana tuta utilize our own resources kufund Tanzania development and if necessary we're going to borrow, but with best conditions. Na kamwe hatukopi kununua Mashangingi au kulipa posho, bali tunakopa kufund project ambazo tumeshazifanyia feasiability study na kufahamu kwamba return yake ni zaidi ya mkopo.
Kwa vigezo vya kuchukua form huyu mama anavyo vyote, anajua kusoma na kuandika, ana upeo wa kujadili mambo, LAKINI HANA KIGEZO CHA KUWA RAISI PERIOD. We need people with execution mind ambao wanasimama na kusema kwamba this is how tutafanikiwa.
If a free society cannot help the many who are poor, it cannot save the few who are rich.
Follow Us Here