Ni kweli tunataka atakayetufikisha tunapotaka, only if sisi Watanzania tungejua tunataka kufika wapi!. Hatuna clear vision tuna focus kufika wapi, as a result hatuna mission yoyote ku accomplish kwa vile hatuna vision!.
Kwani tulipomchagua JK tuliangalia nini saidi ya good looking na maneno matamu ya "maisha bora kwa kila Mtanzania " bila how do we attain that!.
Sisi Watanzania tunawachagua viongozi wasindikizaji tuu, na sisi kwa vile hatujui tunataka kufika wapi, tunaendelee tuu kuwachagua wasindikizaji hawa watusindikize kutusogeza sogeza kwa miaka mitano mitano ili mradi tuymesogea tuu bila kujua tutafika lini kwa vile tuendako hatukujui!.
Kama CCM iliamua nafasi ya uspika ni zamu ya mwanamke, then ikiamua 2015 urais CCM ni zamu ya mwanamke na wakamteu Dr. Asha Rose Migiro, Watanzania watamchagua tuu!. Wale wote mnaodhani Watanzania wa sasa wamebadilika, sio watu wa kupelekwa pelekwa tuu kwa kuswagwa tuu kama ng'ombe, mjue mmenoa!, subirini matokeo ya Arumeru ndio mtanielewa nasema nini!.
Nasisitiza, "Watanzania bado tuko gizani, hatujui tuendako,hivyo hatuwezi kupanga tutafika lini!, hatujui tutakacho kwa hivyo hutuna jinsi ya kujua tutakipataje, matokeo yake, tataendelea kusindikiuzwa kwa kusogezwa sogezwa mpaka tutakapofunua macho kuona mwanga tujue tunataka kwenda wapi, ndipo tutaweza kumchagua yule atakayatufikisha!. Kwa kipindi hiki ambacho hatujui tunataka nini, tutapokea chochote tutakacho letewa na wakazi wa Arumeru, watalithibitisha hili siku ya Jumapili!.
28th March 2012, 07:02
Technology
Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015
Basi rais Tundu Lissu
28th March 2012, 07:19
Jasusi
Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015
Quote:
By Pasco

You seem to be so sure of what you are saying.
28th March 2012, 07:50
Qedalong
Quote:
By Topical
Hafai kuwa rais; maximum we can offer her is ministrial post
Kusema hafai tupe hoja ya kwanini hafai. Kwasababu nionavyo mimi anauwezo kuliko JK, na udaktari wake ni wa kusomea kuliko wa JK wa mtaani. Vile vile naona wachangiaji waliowengi ktk hoja Hii ni wanaume na Acheni fikra zilizopitwa na wakati za mfumo dume
28th March 2012, 07:53
Qedalong
Quote:
By Topical
Hafai kuwa rais; maximum we can offer her is ministrial post
Kusema hafai tupe hoja ya kwanini hafai. Kwasababu nionavyo mimi anauwezo kuliko JK, na udaktari wake ni wa kusomea kuliko wa JK wa mtaani. Vile vile naona wachangiaji waliowengi ktk hoja Hii ni wanaume na Acheni fikra zilizopitwa na wakati za mfumo dume tuwape wanawake nafasi pia ila hofu yangu atamalizia kuuza nchi kabla CCM haijazikwa.
28th March 2012, 08:19
Ndahani
Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015
Quote:
By Nyani Ngabu
Nadhani watu wanazuzuka na udokta wa Asha Migiro na hawaangalii uwezo wake wa kuongoza.
Ushauri wangu wa bure tuu...bora akaanzishe law firm. Ila watu mazuzu wanafikiri kupeana urais ni kama kugawana kipande cha mkate wakati wa njaa.
28th March 2012, 08:32
Matola
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Quote:
By Qedalong
Kusema hafai tupe hoja ya kwanini hafai. Kwasababu nionavyo mimi anauwezo kuliko JK, na udaktari wake ni wa kusomea kuliko wa JK wa mtaani. Vile vile naona wachangiaji waliowengi ktk hoja Hii ni wanaume na Acheni fikra zilizopitwa na wakati za mfumo dume
Hili kuijazia afya hoja yako hebu tueleze matunda ya Spika Mwanamke!!......
28th March 2012, 08:40
Bobuk
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
A UN reject/failure Watanzania ndiyo tunamuona a HERO!
Kweli Watanzania ni zaidi ya uwajuavyo! Good luck
28th March 2012, 08:46
Makupa
Quote:
By Bobuk
A UN reject/failure Watanzania ndiyo tunamuona a HERO!
Kweli Watanzania ni zaidi ya uwajuavyo! Good luck
Failure kivipi wakati ana Phd ya ukweli
28th March 2012, 09:40
Matola
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Quote:
By Makupa
Failure kivipi wakati ana Phd ya ukweli
Unaelewa maana ya Filure!? PHD yake inahusiana vipi na yeye kuto meet expectation za UN?
28th March 2012, 12:36
Pasco
Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015
Quote:
By Jasusi
You seem to be so sure of what you are saying.
Uki anticipate victory bila kujua the name of the game na rules of the game, unakuwa na too great expectations na very desparate na ushindi, ikitokea ukishindwa unaishia ku despair!.
Mimi nawaandaa kupokea bad news!, hata msiba, mtu akifa sudden death ni very shocking lakini mtu aliyeugua muda mrefu akifikia stage ya terminal, ukisikia amefariki , utasikitika but not shocked!.
Mtu mwema kwako ni yupi, anayekuba bad news ahead of time, au anayekunyamazia na kukuacha ukutane na bad news!.
28th March 2012, 12:42
JOHN NYANGE
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Tunachohitaji ni kiongozi bora na sio bora kiongozi labda wakina mama wanaweza kufanya mabadiliko ngoja tuone
15th June 2012, 09:24
Saint Ivuga
Re: Asha Rose Migiro kuvaa viatu vya Jk 2015?
Good move ccm.
15th June 2012, 09:42
Mnama
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Watajiju ! Ngoja 2015 ndio kiama chao
15th June 2012, 09:59
HOMOSAPIEN
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Siku ya kifo cha Nyani ikifika hata miti huteleza! sijui niifananishe na nini lakini mpasuko ndani ya CCM unakoelekea ni huko! tabia ya kupinga kila jambo la wapinzani hata likiwa jema ni mbaya sana yule Katibu Mkuu wa CCM aliyefia kwenye mic Dodoma aliliona mapema lakini hawakumuamini sasa mzimu wake unajirudia,makosa yaleyale yanajirudia,yetu macho kama ni kuwa mkuu sana ili kulinda maslahi ya watu fulani itajulikana hapo 2015 na utakuwa mwisho wa C... tutatwangana sana na bila kutwangana hatutaheshimiana.
15th June 2012, 10:08
umumura
Re: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC
Alichokifanya kikubwa alipokuwa UN ni kumsaidia riziwani kupata tenda ya ku supply provisions kwa majeshi ya peace keeping ya UN kule darfur- Sudan. Huyu mama anaandaliwa kuja kuwahadaa wanawake watanzania wampigie kura kwa wingi apate uraisi alinde maslahi ya CCM na mafisadi wake. WATANZANIA WOTE TUWE MAKINI, LITAKUWA NI KOSA KUBWA LA KUJUTA KUKUBALI KUHADAIWA KWA MARA NYINGINE TENA KUMPA MTU KAMA HUYU, SHETANI, KUINGIA IKULU. TUNAHITAJI MABADILIKO, MFUMO MPA YA UTAWALA NA UONGOZI , KUONDOA UBADHIRIFU SERIKALINI, KUWASHITAKI NA KUWAFILISI WAHUSIKA WOTE WA UFISADI WALIOIBA FEDHA ZETU NA KUZIFICHA KWENTYE MABENKI YA NJE WAKAMATWE, WAREJESHE FEDHA ZA MASKINI WATANZANIA NA WAFILISIWE KABISA. UFISADI UWE HISTORIA TZ, WATU WACHAPE KAZI UZALENDO WA NCHI UREJESHWE, WATANZANIA WAJIONE NCHI NI YAO, WAMILIKI UCHUMU, ARDHI. MADINI NA MISITU, NA BAHARI. MUNGU IBARIKE TANZANIA , IEPUSHIE UPUUZI HUU WA KICCM WA WATU WACHACHE WEZI KUWAHADAA WATANZANIA NA KUWAANDALIA VIONGOZI, KANA KWAMBA WATANZANIA WENYEWE HAWAWEZI KUJUA NANI ANAFAA KUWA KIONGOZO WAO KWA SASA. AMINA
3rd October 2012, 18:10
mamayeyo
Namkubali Asha Rose Migiro awe rais wa Tz mwaka 2015
Asha Rose Migiro anafaa kuingia ikulu kipindi kijacho kwa sababu ni safi, si fisadi, hana doa. Sababu kubwa zaidi ni kuwa akina mama hawana roho za ulafi wa mali ya umma kwani ni waoga, wanamwogopa Mungu na ni watii wa sheria. Atakuwa makini katika kuongoza nchi kama akina mama walivyo makini ktk kupanga budget za nyumbani kwao. Zaidi ya hayo ana uzoefu wa kimataifa.Vile vile hebu tumpe mwanamama sasa kwani TUNAWEZA tukipewa nafasi. Tangu tupate uhuru ni kinababa tu. Kwani marais wanawake nchi nyingine duniani wana nini ambacho wanawake wa Tz hawana? Wana JF nadhani hoja yangu imepita bila kupingwa.
Naomba kuwasilisha.
3rd October 2012, 18:19
Daudi Mchambuzi
Namkubali Asha Rose Migiro awe rais wa Tz mwaka 2015
Wanawake ndo watakuwa wa kwanza kumnyima kura mama huyu kilaza aliyeshindwa kazi UN.