JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

  Report Post
  Page 13 of 23 FirstFirst ... 31112131415 ... LastLast
  Results 241 to 260 of 446
  1. Uwezo Tunao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th November 2010
   Posts : 6,955
   Rep Power : 2403
   Likes Received
   1166
   Likes Given
   1517

   Default Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

   Naona kwa sasa CCM ghafla wamekuja na ghiliba mpya kwa kuegemea NGUZO mpya ya

   (1) JINSIA ya kike katika siasa ya nchi yetu. Hali hii inafuatia baada ya zile ghiliba za ->

   (2) UDINI na siasa za Kadhi Mkuu mara Tanzania yangu kuvikwa kanzu ya OIC, zote kushindwa kufua dafu. Nako pia ->

   (3) Mbinu ya kutumia silaha ya HOFU YA KUMWAGIKA DAMU na sasa _>

   (4) UCHAKACHUAJI kuchukua mimba toka kwa UFISADI wa kukwapua hadi MBEGU zinazohitajika kupanda shambani ili wananchi nasi tupate japo ka-ahueni ya maisha kidogo, zote kukubuhu.

   Je, kuja kutubadilishia tu SURA na JINSIA kwenye safu ya uongozi wa Juu kwa kuwaleta Asha-Rose Migiro (Urais 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) itageuka kuwa sabuni tosha ya kuitakasha CCM na UCHUNGU MKALI waliotuletea kimaisha hata wasomi tunaoneka wehu mbele ya waungwa Waopoaji Wazoefu kama Rostam Aziz, Lowasa, na wengineo kweli?? Hebu nipeni maoni yenu hapa.

   Nahitaji KATIBA mpya sasa hivi!!!
   jebs2002, Pasco and Ninaweza like this.


  2. FJM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 8,085
   Rep Power : 1354241
   Likes Received
   6042
   Likes Given
   4752

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Nitajie 'initiative' moja tu aliyofanya akiwa UN ambayo watu wakiulizwa watasema ilikuwa yake?
   Jasusi likes this.

  3. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,997
   Rep Power : 138795783
   Likes Received
   23095
   Likes Given
   22978

   Default

   hivi alishafanikisha hata mradi wa sindano za mkono za kushonea kwenye wizara alizowahi kuwa waziri?

   Tena CDM, jipangeni vizuri, walete kiazi waone wananchi tutakavyowabutua.

   Quote By FJM View Post
   Nitajie 'initiative' moja tu aliyofanya akiwa UN ambayo watu wakiulizwa watasema ilikuwa yake?
   FJM and jouneGwalu like this.

  4. Goodrich's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2012
   Posts : 1,044
   Rep Power : 804
   Likes Received
   394
   Likes Given
   62

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Ameshindwa UN taasisi yenye mfumo imara na tayari wa kiutendaji ataweza Tanzania nchi ambayo haina mfumo imara ?
   Wisdom comes by Listening !

  5. idawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Location : karibu na nyumbani.
   Posts : 9,617
   Rep Power : 289007307
   Likes Received
   3374
   Likes Given
   1851

   Default

   Quote By Kongosho View Post
   njaa kitu kibaya sana!

   Kumbe hata mwanamme anaweza lipiwa na mwanamme mwenzie?
   What a shame!
   oya sio mwanaume Asha ni mwanamke .

  6. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 24,957
   Rep Power : 324001222
   Likes Received
   14449
   Likes Given
   10656

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Quote By Kongosho View Post
   njaa kitu kibaya sana!

   Kumbe hata mwanamme anaweza lipiwa na mwanamme mwenzie?
   What a shame!
   Heri mimi sijasema.......mpaka kufikia 2015 vijana wengi wa kiume watakuwa wameshawekwa kinyumba kwa kushindwa kustahamili njaa!!....
   kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda ni kiherehere chako tu.


  7. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,997
   Rep Power : 138795783
   Likes Received
   23095
   Likes Given
   22978

   Default

   Unadhani huyu anayepigiwa ni nini zaidi ya pandikizi la mtu mmoja ambaye analipa watu wamsafishie njia.

   Hukumbuki 2005, aliyeingia hapo alikuwa product ya kaka mwalabu? Na huyo ndo alilipa wa kufanya kazi.
   Quote By idawa View Post
   oya sio mwanaume Asha ni mwanamke .

  8. Original's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2012
   Posts : 326
   Rep Power : 524
   Likes Received
   67
   Likes Given
   265

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Anaweza kuwa raisi wetu kama atagombea kupitia CHADEMA.

  9. Shark's Style's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 27th October 2010
   Posts : 161
   Rep Power : 563
   Likes Received
   18
   Likes Given
   47

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Eti!!! Record nzuri kimataifa? Kwani nani ka kwambia Tanzania tunahitaji kuwa na rais wetu awe mzururaji?
   Play the Shark's style!

  10. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,997
   Rep Power : 138795783
   Likes Received
   23095
   Likes Given
   22978

   Default

   hata kama akiwa CDM, wapiga kura tutamwaga.

   Uwezo wa chama na uwezo wa mgombea binafsi vyote vinachangia kushinda nafasi ya urais.

   Kama mnataka jaribu hilo basi CDM watuletee whait hea au wathila waone.

   Quote By Original View Post
   Anaweza kuwa raisi wetu kama atagombea kupitia CHADEMA.
   jouneGwalu likes this.

  11. Topical's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2010
   Posts : 5,179
   Rep Power : 1353
   Likes Received
   907
   Likes Given
   734

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   embu tufanye majaribio ya mtu kama lema asiye exposure, maana mkap alikuwa na expsore kaharibu, JK alikuwa na exposure hatujarizika,..

   Tumpe Godbless Lema tuone only 5 yrs
   "Mbowe for Presidency 2015""

  12. Jasusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th May 2006
   Posts : 11,850
   Rep Power : 87763287
   Likes Received
   4734
   Likes Given
   15133

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Quote By Topical View Post
   embu tufanye majaribio ya mtu kama lema asiye exposure, maana mkap alikuwa na expsore kaharibu, JK alikuwa na exposure hatujarizika,..

   Tumpe Godbless Lema tuone only 5 yrs
   Topical,
   I hope unatania. Urais si kazi ya majaribio. Godbless Lema hajawa tayari kutuongoza na Asha Rose Migiro kadhalika.

  13. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 49,995
   Rep Power : 429507110
   Likes Received
   18804
   Likes Given
   1532

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Nadhani watu wanazuzuka na udokta wa Asha Migiro na hawaangalii uwezo wake wa kuongoza.
   Jasusi and Ndahani like this.
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  14. timbilimu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Location : DSM
   Posts : 4,371
   Rep Power : 1413
   Likes Received
   1222
   Likes Given
   426

   Default

   Quote By Bob_Dash View Post
   Nimejaribu kuchunguza kwa makini sana safu wa watarajiwa wa kiti cha Urais mwaka 2015 kutoka CCM, kusema kweli sioni mtu anayefaa zaidi ya huyu Mama, Dr Migiro ,mtazamo wangu umelenga katika profile yake yeye kama msomi mzuri tu na pia amekuwa na experience na maswala mbalimbali yanayohusu siasa za kimataifa, hata hivyo pamoja na kusema yote hayo mimi si mfuasi wa CCM lakini inaonekana Urais bado utakuwa wa CCM tu, anyway hayo ni mawazo na mtazamo wangu binafsi
   uzoefu upi wa kimataifa? hizi kazi za kulipana fadhila? heri ungemsema Anna Tibaijuka ningekuelewa!

  15. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,997
   Rep Power : 138795783
   Likes Received
   23095
   Likes Given
   22978

   Default

   Word!
   Hatutafuti celebrity, tunataka atakayetufikisha tunapopaota.

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Nadhani watu wanazuzuka na udokta wa Asha Migiro na hawaangalii uwezo wake wa kuongoza.
   Pasco likes this.

  16. Angel Msoffe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2011
   Location : Tanzania
   Posts : 6,579
   Rep Power : 1984
   Likes Received
   1495
   Likes Given
   68

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Kabla hajaenda UN na Alivyokua UN ameisaidia nini Tanzania?

  17. timbilimu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Location : DSM
   Posts : 4,371
   Rep Power : 1413
   Likes Received
   1222
   Likes Given
   426

   Default

   Quote By Angel Msoffe View Post
   Kabla hajaenda UN na Alivyokua UN ameisaidia nini Tanzania?
   huyu ni mwanasiasa ambaye hajawahi pigiwa kura na wananchi wa kawaida! amekuwa ni wa kubebwa kupitia uteuzi wa mtu mmoja!

  18. TITAN's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2010
   Posts : 301
   Rep Power : 584
   Likes Received
   41
   Likes Given
   83

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Lazima tufatilie na Kutaka kujua kulikoni amekatisha mkataba mnono na UN au ndiyo amefukuzwa, alafu swala la elimu ni kweli mama anaelimu but kuongoza nathani mungu akumbariki, nategemea labda arudi UDSM akapige chaki na kuwaanda vijana wajao ili wawe waitimu bora, but Sisasa za bongo mama awezi tena
   A house divided against itself cannot stand.

  19. Topical's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2010
   Posts : 5,179
   Rep Power : 1353
   Likes Received
   907
   Likes Given
   734

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Hafai kuwa rais; maximum we can offer her is ministrial post
   Jasusi likes this.
   "Mbowe for Presidency 2015""

  20. Precise Pangolin's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 8,955
   Rep Power : 340184
   Likes Received
   2177
   Likes Given
   831

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   Dr Migiro na prof majimarefu hawana tofauti kwenye uongozi kwasababu uwezo wao ni Mdogo sana tofauti dr Migiro ni mzuri wa kufaulu mitihani ya darasani na majimarefu mzuri kwa kuloga
   nyabhingi likes this.

  21. JOYCE PAUL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2010
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 999
   Rep Power : 776
   Likes Received
   74
   Likes Given
   19

   Default Re: Utabiri wangu, DR ASHA-ROSE MIGIRO kuwa PRESIDENT 2015

   jamani jamani msemakweli mpenzi wa mungu..huyu mama hawezi kuongoza tz na akiwekwa yeye basi ujue kuna mtu anaongoza kwa nyuma maana kwa historia yeye amekuwa kiongozi wa kubebwa kama fadhila kwa nchi kwa upande wa un..na uwaziri kwa mambo fulani fulani ambayo siri yao viongozi....wanajua walipeana nini.,e naona heri kidogo mama tibaijuka walau tuna cha kusema kuwa alifanya miradi wakati yuko UN.but huyu R.M un alikuwa anatalii naona walimlazimisha kazi ile halikuwa haipendi.


  Page 13 of 23 FirstFirst ... 31112131415 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Kampeni ya Sitta for Presidency 2015 yazinduliwa.
   By Mpanzi in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 21
   Last Post: 18th July 2011, 19:36
  2. Mbowe for presidency 2015?
   By ZeMarcopolo in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 7
   Last Post: 11th November 2010, 21:18
  3. Asha Rose Migiro for President 2010
   By Mama in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 45
   Last Post: 29th May 2009, 09:48

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...