Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 31 of 31
    1. #1
      mwanamabadiliko's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th October 2010
      Posts : 190
      Rep Power : 1460
      Likes Received
      31
      Likes Given
      3

      Default Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Wakuletwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Posts : 124
      Rep Power : 458
      Likes Received
      7
      Likes Given
      19

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Kule kwenye front page kuna neno great thinkers ndio wanapatikana humu, ila ukiingia ndani ni udaku kwa kwenda mbele sio poa wana JF tuelezane yenye mantiki kwa ajili ya kujenga.

    4. #22
      RayB's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2009
      Location : Jukwaa la Kikubwa
      Posts : 2,578
      Rep Power : 997
      Likes Received
      24
      Likes Given
      3

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Quote By Mtoto wa Kishua
      Udaku huo, aliye mpendekeza Masha ni Lowassa sio RizOne. Labda Hawa Ghasia ndio kapendekezwa na mama Salma!
      Take it from me people, it was him ze rizone
      Natale hilare et annum faustum

    5. #23
      Rugemeleza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2009
      Posts : 636
      Rep Power : 618
      Likes Received
      106
      Likes Given
      38

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Quote By kasopa
      Mambo mengine muwe mnafkiri kutuletea hapa sio wote fkra zetu finyu kiasi hicho rais ana baraza la ushauri sio pekeake anaamua kumpa mtu uwaziri au cheo kikubwa serikalini pia chama tawala kina barazakuu linahusika katika ZOEZI wewe vipi kama unashuki na JK usihusishe mambo mengine au kama unasikia vijiweni uwe unauliza ujue ndo ulete hapa
      Naomba nikujibu kuwa anayetakiwa kumshauri Raisi katika uteuzi wa Mawziri ni Waziri Mkuu basi

      Hiyo ni kwa mujibu wa Ibara ya 55(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977

      55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
      (2) Pamoja na Mawaziri waliotanjwa katika ibara ndogo ya (1), Rais aweza, baada ya kushauriana na Waziri Mkuu, kuwateua Naibu Mawaziri. Naibu Mawaziri wote hawatakuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
      (3) Rais aweza kuteua idadi yoyote ya Naibu Mawaziri ambao watawasaidia Mawaziri katika utekelezaji wa kazi na shughuli zao.
      (4) Mawaziri na Naibu Mawaziri wote watateuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
      (5) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) ikitokea kwamba Rais anahitajiwa kumteua Waziri au Naibu Waziri baada ya Bunge kuvunjwa, basi aweza kumteua mtu yeyote ambaye alikiwa Mbunge kabla ya Bunge kuvunjwa.

    6. #24

    7. #25
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,033
      Rep Power : 1417
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Quote By Rugemeleza

      Mkuu angalia upungufu uliomo kwenye katiba yetu, inampa Rais uhuru wa kucheza na hela zetu, ndio maana unasikia manaibu waziri wengine wameibiwa huko Morogoro vitu vya thamani. Sasa kama naibu wziri haingii hata kwenye cabinet, ni wa nini? kwani hakuna maofisa wizarani wanaoweza kumsaidia waziri?

    8. Miaka 50

    9. #26

    10. #27
      Sley's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 6th May 2012
      Location : Florence Italy
      Posts : 5
      Rep Power : 356
      Likes Received
      0
      Likes Given
      5

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      kali hiyo...

    11. #28
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Humjui Kikwete unamsikia tu!

    12. #29
      Macos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2008
      Posts : 777
      Rep Power : 718
      Likes Received
      167
      Likes Given
      13

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      sasa wewe ulikua mfua chupi zao ndio ukapata habari hii? Au ni kuwadi wa ridhwan? Wacha kuleta utumbo hapa nenda kwenye vibaraza vya jobless hapa sio pahala pako

    13. #30
      Mkomamanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th December 2011
      Posts : 361
      Rep Power : 448
      Likes Received
      58
      Likes Given
      0

      Default Re: Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

      Quote By Rugemeleza
      Naomba nikujibu kuwa anayetakiwa kumshauri Raisi katika uteuzi wa Mawziri ni Waziri Mkuu basi

      Hiyo ni kwa mujibu wa Ibara ya 55(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977

      55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
      (2) Pamoja na Mawaziri waliotanjwa katika ibara ndogo ya (1), Rais aweza, baada ya kushauriana na Waziri Mkuu, kuwateua Naibu Mawaziri. Naibu Mawaziri wote hawatakuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
      (3) Rais aweza kuteua idadi yoyote ya Naibu Mawaziri ambao watawasaidia Mawaziri katika utekelezaji wa kazi na shughuli zao.
      (4) Mawaziri na Naibu Mawaziri wote watateuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
      (5) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) ikitokea kwamba Rais anahitajiwa kumteua Waziri au Naibu Waziri baada ya Bunge kuvunjwa, basi aweza kumteua mtu yeyote ambaye alikiwa Mbunge kabla ya Bunge kuvunjwa.
      Utanukuu saana lakini uhalisia unabaki palepale kwamba tanzania yaliyoandikwa siyo yanayotendeka. Ona dhana ya uwajibikaji ya JK anamsimamisha Ngeleja na kumwacha Malima n.k hayo yameandikwa wapi? Ni wapi katika katiba panapotaka mke wa rais kuomba taarifa ya maendeleo ya mkoa toka kwa Mkuu wa Mkoa na akirudi ikulu inapokelewa katika ofisi gani? Lakini huku kwetu ni ya kawaida. Ni juzijuzi tu wakati wa uchaguzi tulimwona mama Salma akimwombea kura Ngeleja kule Geita, alisema ni kijana mchapa kazi na mwaminifu ... aliyapata toka taarifa ipi ya utendaji wa Ngeleja kama mke wa Rais? Kwa hiyo we acha tusitiane kichefuchefu kwa kunukuu katiba, katiba imeshavunjwa na kuandikwa upya bila kubadili 'mind set' ya viongozi ni kupoteza muda, maana tutaweka hiki yeye atatenda kingine!!!! Kwa sababu hiyo wala hutupaswi kushangaa kama Masha alipendekezwa na Riz1 maana tunajua waliopendekezwa na wengine na wakapita wako wengi tu...akina 'WANAWAKE NA MAENDELEO' kibao na wao wakapendekeza kaka yao awe mkuu wa mkoa na akawa na ameweka kwenye hotel yake aksante Kikwete...we vipi bana?

    14. #31
      kakamukubwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 210
      Rep Power : 399
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By mwanamabadiliko
      waziri wa zamani wa mambo yandani lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia
      kumbe hata wewe unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hicho? Kwani kila alitakalo mtoto au mke ndio yenyewe kutekelezwa? Umeshinda!

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Masha adaiwa kutumia uwaziri kupita Ubunge
      By Zak Malang in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 41
      Last Post: 26th September 2010, 19:35
    2. Raisi Mwenye nguvu ndani ya serikali yake,Kikwete au Karume
      By Mwiba in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 23rd August 2009, 19:02

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...