Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.
Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Mkuu asante sana.
Mkuu MJJ,
Huko kukatika umeme sio kawaida wala nini hawataki watu wapate habari za mwisho mwisho za mkutano wa leo...hususani wale wakazi wa Mbeya ambao hawakupata muda wa kwenda pale ktk uwanja wa ccm kumuona dokta wa ukweli.Hata hivyo Sugu lazima apite hapo Mbeya,yule Mpesya hata ccm wengine hawampendi!!
Mwanakijiji,
Asante sana kwa kutuunganisha live kwenye taarifa hii. Hakika CHADEMA inatisha. umati wa Mbeya unaonyesha jinsi gani wananchi walivyokuwa na kiu ya mabadiliko katika nchi hii. Mungu ibariki Tanzania.
Wamesahau kua kura tunapiga mchana, au ndo wanaingiza zile kura feki sasa
Mkuu ukibahatika na kesho tuwekee taarifa ya habari japo ya mchana au utakazo bahatika.
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
Matukio kama haya ya kukatika kwa umeme ni hujuma za makusudi.
Tuendele kuomba saa ya ukombosi wetu ni kesho.
God bless you all.
CCM wanapotoa amri umeme ukatwe...(kama inahusiana...) wasifikiri kwamba wanawakomoa wananchi na kuwaonyesha joto ya jiwe kama wataichagua CHADEMA. IN fact kitendo hiki kinawaudhi zaidi na kuwapa hamasa wananchi kwenda kuwang'oa hiyo kesho
It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle
Mbona yule shekhe kama vile ni mtoto mdogo (macho yangu!?)...mbona dua ya kuombea ''uchaguzi'' ghafla ikawa ya kumuombea Kikwete?? well...nisitoke nje ya mada. Thanks Mwanakijiji
It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle
Eebwana weee!!!.... Dr. Slaa ni bonge la bouncer vile vile nini??... mike nne mkononi kwa zaidi ya saa bila kudondosha??!!
watu wataamua kesho na kikwete aisome ikulu kwenye magazeti kuanzia novemba
" If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
[email protected]
Huyo mgombea urais wa Tadea kwa upande wa Zanzibar ngangari kweli!
Shetani ashiindwe !!!
Tunashukuru sana MJJ.Tunaomba kama inawezekana utuwekee hizi taarifa kila mara hasa ktk kipindi hiki cha uchaguzi
Enzi hizi za simu kukata umeme ni kupoteza muda maana habari zinasafiri kuliko Mwanga (Muulize Mwiba kipenzi cha JK anajua hilo). Ahsante MJJ
No society can surely be flourishing and happy, of which the far greater part of the members are poor and miserable-ADAM SMITH (A pioneer Political economist)
Ni kweli. Mimi nimefuatilia na kweli umeme umekatwa, baadaye ukarudi na kisha kukatika kwa muda mrefu. hata hivyo, Dr. Slaa hayupo mjini humo (Mbeya) maana ameondoka kuelekea Karatu ambako atapiga kura hapo kesho. Labda wanataka kuingiza masanduku ya kura feki wakati huu wa giza.
HONGERENI SANA WOTE MLIOMPA KURA DR. SLAA (PhD) ILI AIKOMBOE TANZANIA. MAPAMBANO YANAENDELEA
Follow Us Here