JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

  Report Post
  Results 1 to 10 of 10
  1. hagonga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Posts : 141
   Rep Power : 542
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada!
   Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa.

   Ningekuwa mshauri wa Dr nitamshauri amkumbuke huyu reporter katika ufalme wake atapoingia ikulu ampandishe Daraja!
   ikizu likes this.

  2. Augustine Moshi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2006
   Posts : 2,052
   Rep Power : 1962
   Likes Received
   285
   Likes Given
   110

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Ni kweli kwamba watu ambao wanamtendea haki Dr Slaa wanaweza kuombwa kutumikia naye baadaye. Hiyo ni kawaida. Ila wale wanaokubali kutumiwa na CCM kuhujumu jitihada hizi za ukombozi wataumbuka siku chache zijazo.
   ikizu likes this.
   Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.

  3. #3
   Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 13,687
   Rep Power : 5928782
   Likes Received
   10889
   Likes Given
   47114

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Quote By hagonga View Post
   Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada!
   Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa.

   Ningekuwa mshauri wa Dr nitamshauri amkumbuke huyu reporter katika ufalme wake atapoingia ikulu ampandishe Daraja!
   Hagonga, naungana nawe, huyu dada anastahili pongezi kwa kazi nzuri anayomfanyia Dr.Slaa kwenye ITV.

  4. Technician's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2010
   Posts : 842
   Rep Power : 702
   Likes Received
   209
   Likes Given
   170

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Mbona wapo wengi hao?........kwa mfano:

   • Joseph Msami
   The best lovers are those with well developed sensitivity and a wide imagination.

  5. Kachanchabuseta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2010
   Posts : 7,098
   Rep Power : 1948
   Likes Received
   486
   Likes Given
   1281

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Ufo Saro Mungu Amlinde katika kazi zake
   ikizu likes this.

  6. Mwita Maranya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2008
   Location : Ikorongo Game Reserve
   Posts : 10,378
   Rep Power : 2478248
   Likes Received
   7532
   Likes Given
   6903

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Quote By Technician View Post
   Mbona wapo wengi hao?........kwa mfano:

   • Joseph Msami
   Hivi Joseph Msami nae yuko ITV eenh!!
   Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.

  7. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 8,402
   Rep Power : 119106835
   Likes Received
   2731
   Likes Given
   2526

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Kweli huyu dada mi namkubali sana.

   Haogopi kuonyesha msitu wa watu kwenye kampeni ya slaa.
   Niko bize, pm only.

  8. PrN-kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 2,691
   Rep Power : 5524
   Likes Received
   375
   Likes Given
   6

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Ufo Saro ni repoter mpambanaji: yuko makini na kazi yake. binafsi ninamkubali.

  9. #9
   ikizu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2011
   Location : 35B
   Posts : 290
   Rep Power : 510
   Likes Received
   34
   Likes Given
   107

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   nakubaliana na wewe juu ya ufosaro ni jasiri wengine wanapewa vijisent na mafisadi wanachakachua story halisi

  10. only83's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Dodoma-Mjengoni
   Posts : 4,792
   Rep Power : 10418
   Likes Received
   1862
   Likes Given
   1908

   Default Re: Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

   Quote By PrN-kazi View Post
   Ufo Saro ni repoter mpambanaji: yuko makini na kazi yake. binafsi ninamkubali.
   Tumuombee wasije wakamchakachua kama Jerry Muro....
   "Wasio na elimu takribani 77% ndio wanaongoza kumpenda JK na CCM (Afrobarometa, 2013)"  11. Clean9

  Similar Topics

  1. Replies: 0
   Last Post: 28th November 2010, 11:16
  2. Bado nampongeza Dr. Slaa....!
   By Kipenzi Chao in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 5
   Last Post: 2nd November 2010, 14:54
  3. Mwandishi wa TBC aliyeambatana na Dr Slaa
   By PayGod in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 35
   Last Post: 15th September 2010, 09:17

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...