Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..
Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa

______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Tarehe 31 October ni siku ya kupiga kura. Tusiache kwenda kupiga kura tukaanza kulalamika.
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
picha za mwanza hakika zimepotea kabisa
JK sasa anahaha na anatekeleza kila ushauri anaopewa hata kama ukiwa wa kipuuzi ilimradi ushauri uelekee kukilinda kiti cha urais.
Dah rais huyu kweli kiboko
" If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
[email protected]
vijana nangoja walete nawadipuu hawapigi..aghhh
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
mimi niko MZA Nimeshuhudia polisi wa masha wakivurumisha mabomu bila sababu ya msingi. ingawa nao waligwaya nguvu ya watu. SLAA Mwanza ni juu sana. wacha tu
In order for dreams and desires to inspire you to action and achievement, they need to be big.
Si kuna ratiba za wagombea. JK kesho anapaswa kuwa wapi kufuatana na ratiba yake..
slaa anatisha yaani hata singida watu wamejaa
You can not keep 40m people quite forever....
one year one month one day they will wake up..........
Nakukuhakikishieni ndugu hakuna sehemu nilikuwa naogopa kama mwanza maana wana rekodi ya kuibeba CCM kama nao wapo upande wetu naomba kukopa msemo wa mhariri wa daily news wa Kumtangaza (I hereby declare) Dr Wilibroad Slaa kama Rais Mpya wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Infact JK atapata kura za kuhesabika kiganjani (a handful votes) kutoka kwa mashabiki wake wachache tu!
NB: Naona Malaria Sugu amekubali yaishe na ni jambo la kumshukuru Mungu!
No society can surely be flourishing and happy, of which the far greater part of the members are poor and miserable-ADAM SMITH (A pioneer Political economist)
imekataa mkuu, ngoja nijaribu tena
Sasa tshirts na kofia itabidi wagawe zingine au?
Follow Us Here