Jana usiku nimepata message kupitia namba yangu ya tiGo ikinitaka nimchague mgombea wao Kikwete kwa sera nzuri za CCM. Nilishtuka sana na kujiuliza wameipata wapi namba yangu. Nilipolala nikaota ndoto kuna joka kubwa la kijani limeingia chumbani kwangu likiniomba niishi nalo na kuniahidi halitanidhuru. Ndugu zangu nahitaji msaada wenu wa Kisheikh Yahya kujua maana ya ndoto hii.

Reply With Quote
You made my day dude..







Follow Us Here