Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 32 of 32
    1. #1
      Luteni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2010
      Posts : 2,270
      Rep Power : 947
      Likes Received
      239
      Likes Given
      73

      Default Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini


      Akina mama wa Itende wakisalimiana na mgombea ubunge Joseph Mbilinyi

      Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini katika mkutano

      Mgombea wa ubunge Joseph Mbilinyi akizungumza na wananchi



      Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini sera za CHADEMA jijini Mbeya

      Kulia ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya na Wana CHADEMA akibadilishana mawazo katika moja ya mikutano ya kampeni jijini Mbeya

      Mkereketwa wa CHADEMA akiwa amebandika picha ya kampeni katika shati lake kama alivyokutwa maeneo ya Ilemi darajani huku akiwa ameshika kadi ya kupigia kura mkononi



      G SOLO akiimba pamoja na umati mkubwa wa watu katika moja ya mikutano ya kampeni za mgombea ubunge bwana Joseph Mbilinyi

      Akina mama hawa walisimamisha gari ya mgombea ili wampe baraka zao Joseph mbilingi ( SUGU )







      Sugu akifika eneo la mabatini





      Umati wa watu waliofika kumsikiliza sugu





      Mmoja wa Kamanda wa CHADEMA akiongea na wananchi





      Bwana Joseph Mbilinyi akiongea na wananchi wa Mabatini







      Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini
      Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya


      Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao
      Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita
      Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu






      Wananchi wa Mwansekwa waki mkaribisha Mheshimiwa JOSEPH MBILINYI

      JOSEPH MBILINYI (Mr II ) aki hutubia wananchi

      Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya nae alikuwa na jambo la kuzungumza na wananchi

      Hapa Mr Mbwembwe ali kua akitoa buruda ni kwa wakazi wa mwansekwa



      POLICE pia wali kuwepo eneo la mkutano iliku hakikisha usalama unakuwa ni wakutosha
      Luteni is a True Revolutionist.


    2. #21
      Augustine Moshi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2006
      Posts : 1,832
      Rep Power : 1853
      Likes Received
      184
      Likes Given
      85

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Mwamko wa wananchi wa kutaka mabadiliko ni mkubwa kuliko mategemeo. SUGU atashinda Ubunge Mbeya. Ngoja aje Dr. Slaa huko (Oktoba 5) muone atakavyoimarisha kiu ya mabadiliko ya wananchi wa Mbeya.

      Nimesema kwamba wananchi vijijini wana mwako kuliko tunavyodhani kutokana na yaliyoniyokea mimi. Nilituma ujumbe kuwaomba wenzangu waungane na CHADEMA, nikakuta nimechelewa. Sio tu kwamba wameshaikubali Chadema, bali yatari wameshakuwa viongozi wa CHADEMA kwenye sehemu zao.

      Kunan kitu kinaitwa empirical evidence. Ni ushahidi wa kupimika, wa kisayansi. Hali ilivyo tayari ni kwamba all available empirical evidence points to a CHADEMA victory. Opinion polls zote ambazo zimepatikana hadi sasa (ya UHURU, ya DAILY NEWS, ya JF) zinasema wananchi wanataka mabadiliko. Na ikumbukwe JF inajumuisha maoni ya Watanzania toka kona zote za dunia.

      Kutopatikana kwa opinion polls za REDET ni ishara nyingine muhimu ya kuashiria kwamba CCM haifanyi vizuri kwenye opinion polls.

      Ila mazoea yana tabu. Wako wachache amabo wamezoea CCM kushinda (au kutangazwa tu mshindi) kila mara kiasi ambacho sasa akili yao hairuhusu kabisa kuona uwezekano wa chama kingine kushinda. Kameingia hako kamgando vichwani mwao.

      Allah Akbaru! God is great! Taifa lililotawaliwa na watu wale wale kwa miak 50 bila kupata maendeleo sasa linataka kufanya mabadiliko. Tuna heri sisi tulioruhusiwa kuyashuhudia haya. Watu waliokuwa wamekosa matumaini sasa wamesisimka tena! Wanaamini, with justification, mwakani Tanzania itaanza maisha mapya.

      Ngumi ni ishara ya nguvu. Hata Mandela alitumia ishara hiyo sana! Ngumi zinazooneka kwenye kampeni za CHADEMA ni ishara ya nguvu za uma wa Watanzania. SUGU endelea kutumia ishara ya ngumi huko Mbeya. Usijali wachache wanaohaha wakiona ngumi za wananchi. Wamezoea kuona mitutu ya polisi peke yake. Wanaogopa sana nguvu za wananchi.
      Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.

    3. #22
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 5,189
      Rep Power : 2418
      Likes Received
      997
      Likes Given
      173

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      ofcoz mbeya ni moja ya mkoa ambao CCM wanakazi nzito.. lakini nawaonea huruma sana watu wa mbeya wakimuamini huyu muimba bongo flava.
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯


    4. #23
      Nicky82's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2009
      Posts : 938
      Rep Power : 714
      Likes Received
      57
      Likes Given
      1

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Quote By njiwa View Post
      ofcoz mbeya ni moja ya mkoa ambao CCM wanakazi nzito.. lakini nawaonea huruma sana watu wa mbeya wakimuamini huyu muimba bongo flava.

      hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya CCM ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo Muziki wa Bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......Na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva Tanzania bila kumtaja SUGU utakuwa na walakini.. SUGU ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...Mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.

    5. #24
      kipipili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Posts : 1,281
      Rep Power : 759
      Likes Received
      61
      Likes Given
      13

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Quote By Junius View Post
      Napata kama matumaini hivi watanzania wanaamka!
      hakika mwamko ni mkubwa sana
      "Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"

    6. #25
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,820
      Rep Power : 44138
      Likes Received
      375
      Likes Given
      1450

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Quote By njiwa View Post
      ofcoz mbeya ni moja ya mkoa ambao CCM wanakazi nzito.. lakini nawaonea huruma sana watu wa mbeya wakimuamini huyu muimba bongo flava.
      Mbeya kwa muda mrefu wamekuwa ni wapenzi wakubwa wa CCM, huna haja ya kuwaonea huruma kwani wanajua wanachofanya. Huu ni wakati wa kampeni na haijalishi wingi wa watu katika mikutano ya kampeni kwani watu wa Mbeya wanajua nani na nini cha kufanya.
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj


    7. #26
      Ngisibara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd January 2009
      Posts : 1,155
      Rep Power : 764
      Likes Received
      134
      Likes Given
      129

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Quote By Ndege ya Uchumi View Post
      Juzi nilipita Nzovwe nikakuta Mpesya anahutubia kikundi cha watu kama 15 hivi baada ya hapo akakibeba hicho kwenye kilory fulani akaenda kukihutubia tena sehemu nyingine! Jamani kwa mlioko Mbeya Nadhani mkishirikiana na Sugu vyema Jimbo anachukua tena kwa Kishindo
      Mkuu nimekuchoka na sina hamu ya kuendelea zaidi
      SEMINA ELEKEZI, Mie ntakula mpaka kulee, wewe palee na nyie paleee, Mawaziri wangu angalieni msiingiliane mpaka tutakapokutana 2015


    8. #27
      Nsesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2008
      Posts : 326
      Rep Power : 608
      Likes Received
      28
      Likes Given
      49

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Hilo ni Jimbo la Mbeya Mjini, lina utamaduni wake, mahesabu ya kuangalia wanaokufuata na kukushangilia yanaweza kumponza huyo kijana. Swali jee, wapiga kura wa Mbeya wanamfahamu? Mpesya anao mtaji tayari, ana ngome nzito pembezoni, katikati kwa wajuaji watagawana lakini nako wengi wa hao wajuaji sio wapigakura. Mpesya, sio mtu wa kumbeza kabisa, anafahamu jinsi ya kuwafikia wapigakura wake, kama mtu anabisha akamulize Thom Mwang'onda.

      Quote By Nicky82 View Post
      hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya CCM ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo Muziki wa Bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......Na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva Tanzania bila kumtaja SUGU utakuwa na walakini.. SUGU ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...Mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.

    9. #28
      mikela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2010
      Posts : 1,853
      Rep Power : 845
      Likes Received
      329
      Likes Given
      83

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Sugu mwendo mdundo.
      Nasikitika sana siko mbeya, soko matola mtaa wa nonde,
      nyumba namba namba sita,
      hakika wewe ndio chaguo langu.
      Tangu zama za madisco ya loleza, mbeya day, sangu, meta na mtc...
      Mbeya needs you bro, dont give up..
      Haya ni mapambano, hamna ushindi unaokuja kirahisi
      Mtanzania Halisi

    10. #29
      mikela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2010
      Posts : 1,853
      Rep Power : 845
      Likes Received
      329
      Likes Given
      83

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Kaka unaongea kitu usicho kijua.
      Thom mwang'onda alikuwa anagombea rungwe na mwandosya, siyo mbeya mjini.
      Niko dsm lakini watu wangu wote wa mby wamenihakikishia kuwa kura zao ni kwa thugu
      Quote By nsesi View Post
      hilo ni jimbo la mbeya mjini, lina utamaduni wake, mahesabu ya kuangalia wanaokufuata na kukushangilia yanaweza kumponza huyo kijana. Swali jee, wapiga kura wa mbeya wanamfahamu? Mpesya anao mtaji tayari, ana ngome nzito pembezoni, katikati kwa wajuaji watagawana lakini nako wengi wa hao wajuaji sio wapigakura. Mpesya, sio mtu wa kumbeza kabisa, anafahamu jinsi ya kuwafikia wapigakura wake, kama mtu anabisha akamulize thom mwang'onda.
      Mtanzania Halisi

    11. #30
      mikela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2010
      Posts : 1,853
      Rep Power : 845
      Likes Received
      329
      Likes Given
      83

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Naogopa kuwatukana.
      Sugu is the young boy raised from mbeya grounds.
      Watu wanamjua na anajulikana.
      Go straight forwards to his songs,
      zisikilize kwa makini.
      Halafu uniambie mpesya ameifanyia nini mbeya mjini?
      Tangu enzi za mwasimba nonde ni ile ile hadi leo ,
      hii ni aibu kkubwa kwa wana mbeya
      Quote By nicky82 View Post
      hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya ccm ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo muziki wa bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva tanzania bila kumtaja sugu utakuwa na walakini.. Sugu ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.
      Mtanzania Halisi

    12. #31
      mikela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2010
      Posts : 1,853
      Rep Power : 845
      Likes Received
      329
      Likes Given
      83

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Sugu anafanya hip hop sio ubongo wa fleva
      Quote By nicky82 View Post
      hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya ccm ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo muziki wa bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva tanzania bila kumtaja sugu utakuwa na walakini.. Sugu ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.
      Mtanzania Halisi

    13. #32
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,862
      Rep Power : 7377
      Likes Received
      6195
      Likes Given
      22551

      Default Re: Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

      Quote By Henge View Post
      Wakuu nimetoka mbeya juzi na bahati nzuri nimehudhulia mkutano wa ccm na mbunge wao mpesya uliofanyika uyole - sokoni inasikitisha saaana yaani ukisikia kampeni za maji taka ndo za ccm mbeya mjini, kwanza ulikuwa hauna msisimko kabisa, majungu na matusi mengi na watu hawakuwepo, yaani noma. Si kawaida kwa uyole kutokuhudhulia kikao cha ccm nilishangaa sana, sugu anawachemsha kishenzi!
      Henge, wengi tunatamani mabadiliko ya kweli, hivyo taarifa hizi za matumaini zinatia moyo sana.
      Angalizo, tusitegemee tuu mikusanyiko ya watu na hamasa za kampeni, jee watu hao ni wapiga kura?.
      Baada ya kuhudhuria chaguzi ndogo za Kiteto, Tarime, Biharamulo, Busanda, na Mbeya vijijini, nimejifunza kitu kwani kote isipokuwa Tarime, niliduwazwa na matokeo. Lets hope for the best but be prepared for the worst!.
      CCM Bwana...sii mchezo!

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. MR II aka 'Sugu' Sasa Awa Mheshimiwa, Awa Mbunge wa Mbeya Mjini
      By MziziMkavu in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 8
      Last Post: 2nd November 2010, 06:28
    2. Replies: 0
      Last Post: 1st November 2010, 13:42
    3. Tetesi: Sugu vp Mbeya mjini?
      By Ringomaniac in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 2
      Last Post: 1st November 2010, 13:11
    4. Confirmed: Sugu mbunge mpya Mbeya Mjini
      By Nyambala in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 40
      Last Post: 1st November 2010, 11:04
    5. Mr. Sugu ashinda kura za maoni ubunge CHADEMA - Mbeya mjini
      By Teh Teh Teh in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 40
      Last Post: 2nd August 2010, 17:44

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...