Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Gazeti la Mwananchi na uchaguzi

    Report Post
    Results 1 to 10 of 10
    1. #1
      PayGod's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2008
      Posts : 1,158
      Rep Power : 804
      Likes Received
      42
      Likes Given
      22

      Default Gazeti la Mwananchi na uchaguzi

      ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni magazeti ya MAFISADI

    2. Miaka 50

    3. #2
      Kite Munganga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2006
      Posts : 839
      Rep Power : 807
      Likes Received
      69
      Likes Given
      83

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Mwanainchi ni gazeti moja tu hapa Tz linaloripoti ukweli bila kulalia upande wowote likifuatiwa na Tanzania Daima
      Tanzania ni Nchi ya amani iliyozeeka!

    4. #3
      Negotiator's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th August 2010
      Posts : 301
      Rep Power : 510
      Likes Received
      36
      Likes Given
      36

      Default Re:Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Quote By Kite Munganga
      Mwanainchi ni gazeti moja tu hapa Tz linaloripoti ukweli bila kulalia upande wowote likifuatiwa na Tanzania Daima
      mwananchi wako fair
      '

    5. #4
      nguvumali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2009
      Location : nimerudi Mwanza
      Posts : 3,694
      Rep Power : 1233
      Likes Received
      537
      Likes Given
      146

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Mwananchi na Tanzania wanajitahidi sana.
      The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

    6. #5
      Malunde-Malundi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2008
      Posts : 1,254
      Rep Power : 831
      Likes Received
      111
      Likes Given
      40

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Mwananchi kwa sasa ni 100% ndilo pekee liko fair
      Linafuatiwa na Tanzania Daima (95% Fair), 5% hulalia Chadema, walau kuna inteligential nzuri ktk TZDAIMA na umakini

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      Profesy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2009
      Posts : 374
      Rep Power : 579
      Likes Received
      9
      Likes Given
      8

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Quote By PayGod
      ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni magazeti ya MAFISADI
      Ukweli ni kwamba Mwananchi hawafagilii serekali ya CCM kwa hio ni gazeti yenye coverage nzuri mno sema wanafocus sana sana kuwafumania CCM. Ni gazeti nzuri. Lakini kama unataka ambayo inaandika bila kubagua, soma Majira.

    9. #7
      Njilembera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2008
      Posts : 786
      Rep Power : 724
      Likes Received
      93
      Likes Given
      159

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Mwananchi wamejitahidi sana kuwa na balanced reporting. Lakini wamekuwa makini kuhakikisha wako online kuliko Tanzania Daima. At least unaweza ukapata sio zaidi ya masaa manne tangu siku ianze.

      Mengine yangekuwa hivi ingekuwa rahisi kufahamu mengi yanayojiri katika nchi tajiri duniani, Tanzania

    10. #8
      Njilembera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2008
      Posts : 786
      Rep Power : 724
      Likes Received
      93
      Likes Given
      159

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Majira imepotea online, sijaisoma muda sasa! Kama kuna mwenye kunijuza anijuze tafadhali. Nilikuwa nawapata zamani www.majira.co.tz au www.bctimes.co.tz ( au ni BcTimes.com | Bc Times | Newspaper | Daily Local Newspaper | High School Football nimeshasahau!)

    11. #9
      Plato's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 371
      Rep Power : 518
      Likes Received
      58
      Likes Given
      0

      Default Re: Gazeti la Mwananchi na uchaguzi

      Kwa kweli nadhani mwananchi wanaandika vizuri.tz daima wanafuatia.majira siioni online,mwenye msaada pia anipe.haya ni yale yanayotoka kila siku.yale ya wiki ni raia mwema na mwanahalisi pekee na kwanza jamii ambalo siku hizi halitoki

    12. #10
      wahanya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th April 2008
      Posts : 205
      Rep Power : 612
      Likes Received
      41
      Likes Given
      77

      Default Re: Je gazeti la mwananchi linalipoti sawa kuhusu uchaguzi ?

      Quote By Njilembera
      Majira imepotea online, sijaisoma muda sasa! Kama kuna mwenye kunijuza anijuze tafadhali. Nilikuwa nawapata zamani www.majira.co.tz au www.bctimes.co.tz ( au ni BcTimes.com | Bc Times | Newspaper | Daily Local Newspaper | High School Football nimeshasahau!)
      Majira hakuna kitu pale

    Similar Topics

    1. Gazeti la mwananchi la leo....
      By Msanii in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 28
      Last Post: 22nd January 2013, 09:36
    2. Heko gazeti la Mwananchi
      By Sanda Matuta in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 8
      Last Post: 25th November 2011, 11:46
    3. Gazeti la mwananchi vipi?
      By LE GAGNANT in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 18
      Last Post: 15th September 2011, 11:34
    4. Gazeti la Mwananchi na gamba la CCM!
      By Mzee wa Rula in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 5
      Last Post: 8th May 2011, 21:42
    5. Ikulu Vs gazeti la Mwananchi!
      By AK-47 in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 34
      Last Post: 22nd September 2010, 20:43

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...