JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la mwananchi la leo....

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 29
  1. #1
   Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,437
   Rep Power : 2069
   Likes Received
   400
   Likes Given
   793

   Default Gazeti la mwananchi la leo....

   ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi leo, picha inawaonyesha wananchi wakiwa wameuchapa usingizi kwenye mkutano wa kampeni wa ccm, unaohutubiwa na Dk. Bilal, huko Tunduru... duh watu washachoka kabla hata kazi haijaanza!
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]


  2. nguvumali's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,783
   Rep Power : 1547
   Likes Received
   1011
   Likes Given
   308

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   hahaaaah, ile picha nimeipenda, ila wale wananjaa, maana hata kile kitoto kilichokuwapo mkutanoni kimesinzia pia.
   The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

  3. #3
   Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,437
   Rep Power : 2069
   Likes Received
   400
   Likes Given
   793

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   watakwambia ni swaumu hiyo
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  4. #4
   Plato's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 420
   Rep Power : 624
   Likes Received
   84
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Mgombea mwenyewe anaongea amesinzi,seuze na wasikikilizaji

  5. #5
   Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,437
   Rep Power : 2069
   Likes Received
   400
   Likes Given
   793

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   @Tumain
   Mwizi hujua namna ya kuiba mala halali ambayo si ya kwake
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]


  6. nguvumali's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,783
   Rep Power : 1547
   Likes Received
   1011
   Likes Given
   308

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By Tumain View Post
   Mtakunja uso vibaya baada ya uchaguzi ...maana chadema watakuwa mbali sana kwenye kona ya walalamikaji..ccm inachekelea ushindi wa kishindo wananchi wana akili sana siyo walevi kama mnavyofikiri..
   NDO MAAANA WANANCHI WAMEAMUA KUSINZIA ili kuwaruhusu ccm wawaibie, hahahaaah.Vipi swaumu mkuuuu.
   The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

  7. #7
   Jile79's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2009
   Posts : 6,008
   Rep Power : 1810
   Likes Received
   691
   Likes Given
   266

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   eee jamani tunaumizana sana humu jamvini.................wanasi nzia baada ya kulishwa pilau....we mwananchi gani yupo tayari kutohudhuria mkutano wakati pilau zimetangazwa naye ananjaa au hajaonja muda mrefu sasa? c mnajua maisha yenyewe ya kuungaunga hasa sehemu km tunduru huko maisha bora kwa kila mtunduru magumu ile mbaya.....acha wachape usingizi wakisubiri pilau na pombe za kienyeji kila baada ya miaka mitano............ebo!
   Mvumilivu hula mbivu... Ila mvundika mbivu hula mbovu

  8. kaburunye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th May 2010
   Location : pandagisiza sogwinaminzi
   Posts : 677
   Rep Power : 695
   Likes Received
   62
   Likes Given
   13

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By nguvumali View Post
   hahaaaah, ile picha nimeipenda, ila wale wananjaa, maana hata kile kitoto kilichokuwapo mkutanoni kimesinzia pia.
   Hawa ndo wanafanya mheshimiwa anaanguka jukwaani!!!! maana wanamwambukiza usingizi ati. Aiseee

  9. #9
   Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,437
   Rep Power : 2069
   Likes Received
   400
   Likes Given
   793

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By kaburunye View Post
   Hawa ndo wanafanya mheshimiwa anaanguka jukwaani!!!! maana wanamwambukiza usingizi ati. Aiseee
   wakikusikia wenyewe watadai umewatukana ohooo
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  10. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,130
   Rep Power : 22258
   Likes Received
   1155
   Likes Given
   1084

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Mis use of resources Bilal ni mtaalamu wa mambo ya nyuklia,tungekuwa serious kwa sasa angekuwa busy kule Namtumbo anasimamia nuklia yetu.
   Hana mvuto kwa kweli akiongea unaweza shusaha net ukalala
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  11. Mongoiwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Posts : 494
   Rep Power : 10154
   Likes Received
   109
   Likes Given
   24

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Naipenda Mwananchi wanafanya kazi yao vyema. kumbe ndiyo maana waandishi wake walitimulewa kule bukoba katika kampeni za JK wanajua wako makini
   Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa ya Viongozi

  12. Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 29,358
   Rep Power : 271423642
   Likes Received
   5287
   Likes Given
   3266

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Kwa kweli huyu mgombea mwenza wa sisiem hana mvuto kabisa, nilihudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni inayoendelea huku kusini.....hakuna la maana zaidi ya watu kuboreka. Balaa lilikuja pale watu walipoanza kuondoka mkutanoni eti polisi wakazunguka eneo la mkutano kuzuia watu wasiondoke....!

  13. Kaa la Moto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2008
   Location : Bristol
   Posts : 7,243
   Rep Power : 83685419
   Likes Received
   546
   Likes Given
   5200

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By Tumain View Post
   Mtakunja uso vibaya baada ya uchaguzi ...maana chadema watakuwa mbali sana kwenye kona ya walalamikaji..ccm inachekelea ushindi wa kishindo wananchi wana akili sana siyo walevi kama mnavyofikiri..
   Si tujuze na kafu watakuwa kona ipi? hahahahahahahahahaha! au watakuwa na kaka yao sisi m kona ile ingine? Bwahahahahahahahahaha
   wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

   ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

  14. #14
   Mdau's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th March 2008
   Posts : 1,444
   Rep Power : 958
   Likes Received
   171
   Likes Given
   105

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Wale "wamepelekwa" mkutanoni, wakati wale wa CHADEMA huwa wanaenda mkutanoni....

  15. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,437
   Rep Power : 2069
   Likes Received
   400
   Likes Given
   793

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   CCM waligawana madaraka dom wakadhani itakuwa kirahisi namna hiyo
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  16. Raia Fulani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Posts : 9,926
   Rep Power : 2854
   Likes Received
   1517
   Likes Given
   967

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By Msanii View Post
   watakwambia ni swaumu hiyo
   sumbawanga wametamalaki wakristo. Hao wamejichokea zao tu
   Beware of a sucker punch

  17. Ntemi Kazwile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2010
   Location : Bongo salidalam
   Posts : 2,114
   Rep Power : 977
   Likes Received
   241
   Likes Given
   1040

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Hiyo picha nilipoiangalia jana ilinifurahisha sana. Huenda hao ni miongoni mwa waliozuiliwa wasiondoke mkutanoni... kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa wasiondoke kwenye mikutano ya kampeni ya chama twawala.
   Disagree, yes, but come together to do what’s best for your country and your people

  18. Kigogo's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 17,024
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3353
   Likes Given
   1834

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Quote By Msanii View Post
   watakwambia ni swaumu hiyo
   Hhaaaaaa wafungulie tu Kama alivofanya mgombea wao pale jangwani

  19. Kigogo's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 17,024
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3353
   Likes Given
   1834

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Jk alidhami urais ni lelemama

  20. kisendikalwani's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la mwananchi la leo....

   Hello Friends,
   I have been busy at this time of the year,trying to join the loose ends before the year ends. well, may I take this opportunity to send my warmly X-Mass greetings , wishing the best of luck,happiness,and prosperous new year to you all.

   Kisendi.


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Gazeti la Mwananchi na gamba la CCM!
   By Mzee wa Rula in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 8th May 2011, 22:42
  2. Sikubaliania na gazeti la mwananchi
   By Kiherehere in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 13
   Last Post: 16th November 2010, 20:31
  3. Ikulu Vs gazeti la Mwananchi!
   By AK-47 in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 34
   Last Post: 22nd September 2010, 21:43
  4. Gazeti la Mwananchi na uchaguzi
   By PayGod in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 9
   Last Post: 11th September 2010, 16:41

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...