CDM mkoa wa Mbeya jimbo la Kyela limepata kamanda makini na mwanasheria aitwaye R. Mwamakula,atakayegombea ubunge 2015 jamaa tayari kashuka jimboni juzi kufanya research baada ya hapo atarudi na kuenda tena kujenga chama.ikumbukwe mwakyembe hatagombea

Reply With Quote


Follow Us Here