Jamani hizi drama za Tanzania zinanichosha!
1. Mgomo wa madaktari-
2. Tanesco
3. Urais 2015
4. Rushwa
5. Tume za chunguzi mbalimbali
6. Mgogoro Wa serikali na walimu
7. Kuzama kwa meli
Nk! Nk! Nk!
Hivi hawa wasanii wetu watamalizia lini hii michezo yao! Kila siku hawamalizii kucheza hizi episode zao! Bunge usanii mtupu! serikali usanii! Wafanyakazi usanii! Wakulima usanii! Kila mtu msanii!

Reply With Quote





Follow Us Here