Kama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!
Kama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!
Kumfikiria Lipumba ni kufikiria mapumba.
Kama shura ya maimamu imeamia magamba unatarajia nini tena na walikuwa ni squad yake kali ya kumpigia debe...........
kuwa vizuri kielimu haimaaanishi pia ni mzuri ktk kuongoza watu,mi nadhani a gud leader lazima awe na qualities zaidi ya uewezo wake kielimu,hv sasa tunao wasome serekalini wengi bt doing practically nothing.
Sijui kwa nini anapoongelewa Slaa au Lipumba lazima topic ugeukie UDINI
cuf haijafa na haitokufa nadhani itakayo kufa ni chadema tusubiri uchaguzi ufike tuone mpira huwa unadunda tuone zanzibar imeingia nusu fainali tusubiri bara mwaka huu ujionee mwenyewe
jee kumbe unataka watawale wacrito tu ndo ndoto yako halafu uvune nini baada wakristo kutawala kuwa makini tuchohita ni utanganyika na uzanzibari
nakumfikiria slaa nikufikiria uchaa nakuokota mifuko majalalani
Ebana true, cdm wataisoma tu ivi mnaijua tanzania vizuri nyie? Mchezo upo ktk sensa musione mashekh wajinga kutaka kipengele cha dini ktk dodoso la sensa! Cdm ni chama cha kanisa then Cuf nadhan mnajua wenyewe cuz wakongwe hao.. Kura ya maslahi wadau. KATU JK awezi kuwaacha cdm wapite kwa vyovyote mpaka 2014 cdm itakua chali mnachoona sasa.ni cdm nimwanzo tu . Na cdm walikua wanapata data kutoka Cuf kupitia Hamad rashidi.. LIPUMBA ANACHUKUA NCHI IKIWA TZ NI NCHI YA DEMOCRACY. Im out!
toa arguments ili watu wakuelewe co
nasikitika na comment za watanzania ambao wanashindwa kujielewa kama nyny wote mlio comment hii title.Tanzania ya leo hatuitaji chama gani tunaitaji mtu gani mwenye uwezo wa kuongoza na kututoa hapa tulipo tufike pale tulipo stahili!! hatuitaji CHADEMA wala CUF wala CCM tunaitaji uwezo wa mtu kokote atakapo kuwa.Kwani CHADEMA wajinga hawapo?
wapo watu ambao hawafai kuwa viongozi na wapo CHADEMA.kama....i..un....a,CHA DEMA wali msimamisha mtu ambaye hana uwezo hata kidogo
"acheni ushabiki wa chama nynyi watu wa CHADEMA,CUF,CCM mtakuwa wajinga mpaka lini?"
Hivi bado anapata ile chenji toka Oman anayoigawa Maalim Seif bosi wake? Na bado katika foleni ya kuingia kwa Maalim anatangulia Ismail Jussa kisha ndo kina Lipumba na Wabara vibara wa CUF aka Sultani wa Zanzibar
kejeli ya mwaka hii
,Mkuu yaani katika watu waliochemka ni huyu mtu, hajiamini ndiyo maana huwa anaomba kura kupitia nyumba za ibaada,Nakumbuka aliwahi kuapishwa na kuweka mkataba na dini furani, wampigie kampeni,akipata urais awatimizie matakwa yao ya kidini. Yaani mahakama ya kadhi na Tanzania kuwa jumuiya ya kiislam.Nikifika hapa napata mashaka makubwa na uprofessor wa huyu mheshimiwa.
Follow Us Here