Hivi vichwa viwili vinawezekuwa tishio sana kama vitaamua kugombea urais wa nchi 2015. Kwa mtazamo wangu kama ccm wakimpitisha Lowasa kuwa mgombea urais na Cdm wakimpitisha Dr. Slaa bila shaka mpambano utakuwa mkali sana, lakini bado nachelea kusema ni nani ataibuka mshindi. Uwezo wa Lowasa ni mkubwa na wa Dr. Slaa pia. Je nani zaid?

Reply With Quote



Follow Us Here