Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 47 of 47
    1. #1
      fikirikwanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 642
      Rep Power : 497
      Likes Received
      149
      Likes Given
      17

      Default Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

      Ndg wanaJF ,

      Ni wakati mzuri sasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na mwaka 2010 ambazo zilimweka kikwete madarakani kwa tiketi ya CCM, tukaangalia nini kilimweka mwaka 2005 na nini kilimweka mwaka 2010, hali ya kisiasa TZ, uwezo wa Kikwete kama rais, uwezo wa CCM kutoa rais mwaka 2015, na uwezo wa upinzani chini ya CHADEMA kutoa rais 2015, faida na hasara za kuwapa CCM au CHADEMA nchi mwaka 2015, Matakwa ya wananchi na ZAIDI MATAKWA YAKO WEWE BINAFSI kisha uamue na utwambie kama utapigia kura CCM au CHADEMA.

      Nitashukuru kupata mawazo yako kabla sijatoa ripoti kuhusu changamoto na mafanikio, mwelekeo wa nchi ifikapo 2015.

      Naomba kuwasilisha.
      mtimbwafs likes this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      SIERA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 370
      Rep Power : 485
      Likes Received
      52
      Likes Given
      86

      Default Re: Utabiri uchaguzi 2015

      Tajiri ni Yupi wakuchaguliwa na mlalahoi ni Yupi...kwa taarifa yako halingumu ya maisha Kila sehemu duniani ...nenda America utakuta watu wa na Halingumu Kama unategemea kunasiku watuwote watakua sawa sahau

    4. #42
      Litvinienko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2011
      Posts : 313
      Rep Power : 552
      Likes Received
      105
      Likes Given
      88

      Default Re: Utabiri uchaguzi 2015

      jbuwfgxdhwf eizhco ruh
      wejmhfr ewfxghuwgf ure3ru3u4qf
      234rh 4865r84yrxiggf
      324ibrc4tcr 4yxgxr43
      2i3ubyx34 grxctr

    5. #43
      mwinukai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2011
      Posts : 656
      Rep Power : 538
      Likes Received
      134
      Likes Given
      51

      Default Re: Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

      ccm ni kama UKIMWI hakuna KINGA wala TIBA ni kifotuu.

    6. #44
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Sasa naamini ccm 2015 inaondoka

      UKIANGALIA MWENENDO WA KITOTO UNAOENDESHWA NA MASPIKA NA WENYEVITI WA VIKAO VYA CCM SASA NI DHAHIRI CCM WANAANZA KUONA MWISHO WAO NDIO MAANA HAWATAKI CHADEMA WASEME LOLOTE (TAARIFA NA MIONGOZO BUNGENI)ILIWEKKWA KUDHOOFISHA HOJA ZA WAPINZANI,MUNGU HAMTUPI MJA WAKE KIBAO KIMAWAGEUKA HAWANA UWEZO WA KUJIBU HOJA WANALETA SIASA VITISHO NA UPUUZI MWINGI WA KUPIGA MAKOFI WANAPOONA SPIKA ANAWANYAMAZISHA CHADEMA SASA WAMEKUJA NA MAJESHI YA KUKODIWA(CUF NA UDP)vichwa 5 vinayumbisha bunge zima na hii inaonyesha ccm waliyozoea vya kuchinja vya kunyonga hawaviwezi nawaonea huruma kwani ncenba alianza kutokwa mapovu inapoombwa taarifa na kuanza kulia eti wamepanga kumyamazisha iweje chadema wachache wakuzidi nguvu hizo ni nguvu za hoja na si hoja za nguvu kama za ANNA MAKINDA MAKAMU WAKE NA WENGI NDANI YA CCM NGOMA INOGILE TUTAONA MENGI MLIE TU 2015 NI CHADEMA

    7. #45
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,194
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      313

      Default Re: Sasa naamini ccm 2015 inaondoka

      wenyeviti wa bunge ni mambumbumbu spika ndo utumbo kabisa..so hakuna la maana...lakini Sitta alisema tutamkumbuka...angekuwa Sitta spika yaani serikali ya JK zamani imeshaanguka

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Avanti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2010
      Posts : 696
      Rep Power : 582
      Likes Received
      103
      Likes Given
      260

      Default Re: Sasa naamini ccm 2015 inaondoka

      Quote By kampente
      UKIANGALIA MWENENDO WA KITOTO UNAOENDESHWA NA MASPIKA NA WENYEVITI WA VIKAO VYA CCM SASA NI DHAHIRI CCM WANAANZA KUONA MWISHO WAO NDIO MAANA HAWATAKI CHADEMA WASEME LOLOTE (TAARIFA NA MIONGOZO BUNGENI)ILIWEKKWA KUDHOOFISHA HOJA ZA WAPINZANI,MUNGU HAMTUPI MJA WAKE KIBAO KIMAWAGEUKA HAWANA UWEZO WA KUJIBU HOJA WANALETA SIASA VITISHO NA UPUUZI MWINGI WA KUPIGA MAKOFI WANAPOONA SPIKA ANAWANYAMAZISHA CHADEMA SASA WAMEKUJA NA MAJESHI YA KUKODIWA(CUF NA UDP)vichwa 5 vinayumbisha bunge zima na hii inaonyesha ccm waliyozoea vya kuchinja vya kunyonga hawaviwezi nawaonea huruma kwani ncenba alianza kutokwa mapovu inapoombwa taarifa na kuanza kulia eti wamepanga kumyamazisha iweje chadema wachache wakuzidi nguvu hizo ni nguvu za hoja na si hoja za nguvu kama za ANNA MAKINDA MAKAMU WAKE NA WENGI NDANI YA CCM NGOMA INOGILE TUTAONA MENGI MLIE TU 2015 NI CHADEMA
      Nimegundua kuwa maono ya binadamu ni tofauti!

    10. #47
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,873
      Rep Power : 2289
      Likes Received
      1138
      Likes Given
      1479

      Default Re: Sasa naamini ccm 2015 inaondoka

      EWE MTANZANIA MLALAHOI, HIVI SASA NI WAKATI MWAFAKA WA SISI WENYEWE KUJIPAKULIA ASALI NA MAZIWA YA 'DHANA YA DEMOKRASIA' KWA KUIMILIKI BUNGE BILA HIZI KADHIA YA MA-SPIKA KUABUDU mungu CCM

      Tatizo ni kwamba wengi wetu hapa JF mnachelewa sana kungamua na kuamini mambo. Hapo 2015 CCM kubakiziwa viti 78 kukaa navyoo upinzani na huo ndio ukweli wa mambo.

      Kwa wakati huo Ma-spika watakua ni Maafisa wa serikali wasiotokana na chama chochote kile bali ni kwamba watapigiwa kura za moja kwa moja na wananchi ili kuwafanya wawajibike kwetu moja kwa moja na kuachana na huu mchezo wa kitoto wanaoufanya hivi sasa bungeni Dodoma.

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...