Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 22
    1. #1
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Wana-JF,
      Baada ya kutazama mkutano wa Chadema uliofanyika Jangwani (26.05.2012) na wa CCM leo tarehe 09.05.2012,nimejifunza kwamba CCM imechokwa na wananchi walio wengi, hivyo CCM imebaki ikitumia mbinu nyingi sana ili kuwadhiirishia umma kwamba bado inapendwa na wananchi lkn si kweli. Nasema hivyo kwasababu zifuatazo,

      1. Umati wa watu waliohudhuria leo Jangwani kwenye mkutano wa CCM bado haulingani na wa CHADEMA. Ukiangalia kwa makini utaelewa hiki ninachokisema, kwani leo watu wamekalia viti na kwa kawaida viti vinachukua nafasi kubwa tofauti na wa CHADEMA ambapo hakukuwa na viti na watu wengi walisimama. Katika hali ya kawaida, kiti kimoja kinaweza kuchukua nafasi ya watu 3-4 waliosimama.

      2. CCM wametumia motives na incentives nyingi sana kuwahamasisha watu kuhudhuria kwenye mkutano wa leo. Motive walizotumia CCM ni kama usafiri, pesa na vitisho kwa walio wanachama wa CCM kimwili na si kiroho kuhudhuria mkutano wa leo. Nasema hivyo kwasababu pale Jangwani leo kuna watu ambao wamehudhuria tu kwasababu hizo nilizotaja hapo juu lkn si kwa hiari yao. Hili ni tofauti kabisa na CHADEMA ambao hakukuwa na motive yoyote ile tofauti na watu hao hao kutakiwa kuichangia CHADEMA kwa kile kidogo walichokuwa nacho. Ukiangalia hili utagundua kwamba ni kweli kwamba siyo wote walioko Jangwani leo wanaipenda CCM kutoka moyoni, HAPANA, nasema hapana tena kwa herufi kubwa kwasababu CCM wana Dola na CHADEMA hawana dola, hivyo CHADEMA haina nafasi ya kumtisha mtu yeyote tofauti na CCM yenye DOLA:

      Hivyo, napenda kuhitimisha kwamba CCM wana kazi kubwa sana, kwani wengi walioko pale Jangwani leo wapo kimwili kwasababu ya PESA, USAFIRI, na VITISHO lkn KIROHO wako CHADEMA. Na kwa msingi huo naamini kwamba CCM wana kazi ya ziada ya kufanya ili kurejesha imani ya watanzania walio wengi. Nasema CCM wana kazi ya zaida ya kufanya tofauti na ilivyo sasa ambapo CCM imekuwa ikidandia KILA KITU TOKA CHADEMA. Hili liko wazi kama ifuatavyo,
      1.CHADEMA walikuwa wa kwanza kuzindua M4C na sasa CCM nao wameiga.
      2. CHADEMA walipofanya mkutano wao Jangwani mwezi jana, ghafla mapema mwezi huu CCM nao wanafanya mkutano Jangwani.
      3.Chadema walipohamia kusini, Mawaziri wa CCM wamekimbia ofisi zao na kurejea kufukia mashimo huko mikoa ya kusini.
      4. N.K

      NB1: Swali la kujiuliza hapa ni JE CCM SASA WAMEFILISIKA KIASI KWAMBA WANASUBIRI KINACHOFANYWA NA CHADEMA ILI WAIGE? Je CCM AMBACHO KIKO MADARAKINI TOKA 1977 mpaka leo bado haina ubunifu wowote kiasi kwamba inakaa mlango wa nyuma ikisubiri CHADEMA wabuni kitu,ndipo CCM ijitokeze na kuiga? HII NI AIBU KUBWA SANA KWA CCM.

      Je kwa UIGIZAJI huu unaofanywa na CCM, je kuna haja ya kuwalaumu hata mawaziri ambao hawana uwezo wala ubunifu wowote, kwani wao ni zao la CCM ambalo sasa kila siku inalala na kuomba CHADEMA wabuni kitu kingine ili wao nao waige.

      NB2: Baada ya CCM kukosa ubunifu na kubaki kusubiri CHADEMA wabuni ili waige, sasa nimeelewa ni kwanini Viongozi wengi sana wa CCM wanajipa PHD ambazo hawajazisomea na hakuna anayewakemea. Ukiangalia CV zao hata qualifications za kuwawezesha kuitwa Dr., hawana lkn wanajiita Dr., refer Waziri wa Fedha wa sasa, Mwanjelwa yule wa Mbeya viti maalum, n.k, n.k. Huu pia ni uigizaji ambao umebuniwa na CCM lkn wenyewe wameuiga kutoka nje ya nchi bila kujua kwamba je ni kwa VIGEZO GANI mtu anastahili kuitwa Dr.?

      Nawasilisha.
      TELO.
      BAK, Crashwise and kitero like this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Eng. Y. Bihagaze's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : Czech(but now in DAR)
      Posts : 766
      Rep Power : 5116
      Likes Received
      583
      Likes Given
      111

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Leo ulikuwa mkutano wa Ccm Na serikali yote ya nchi.. Watu ni kiduuchu sana.. INATISHA.. Wameongea porojo hakuna la msingi hata moja.. Shit!!
      Crashwise and TELO like this.

    4. #3
      chelsea fc's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2011
      Posts : 393
      Rep Power : 458
      Likes Received
      55
      Likes Given
      7

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      yaani upo right kabisa,nakupongeza mkuu coz umeangalia vtu kwa kina sana,ccm ni kirusi tunatakiwa tupambane nae bila woga wala aibu!
      TELO likes this.

    5. #4
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Quote By chelsea fc
      yaani upo right kabisa,nakupongeza mkuu coz umeangalia vtu kwa kina sana,ccm ni kirusi tunatakiwa tupambane nae bila woga wala aibu!
      Pia kumbuka Kofia na Khanga walizogawa.Lkn bado hakuna cha maana kilichofanyika. Hakika CCM iko ICU.
      Crashwise likes this.

    6. #5
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Quote By SALMA2015
      Leo ulikuwa mkutano wa Ccm Na serikali yote ya nchi.. Watu ni kiduuchu sana.. INATISHA.. Wameongea porojo hakuna la msingi hata moja.. Shit!!
      Hiyo ndiyo CCM.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Baba Collin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st August 2011
      Posts : 440
      Rep Power : 483
      Likes Received
      57
      Likes Given
      18

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      ee mungu nakuomba uniache nisizime mpk 2015 nishuhudie mtanange wa ccm na chadema.amen
      Mkiliman likes this.

    9. #7
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,171
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      kilichojili leo ni kuwanadi mawazir wenye sera mfu,pamoja na kusomba watu kwa malori,pamoja na kugawa pesa nyingi ambazo kwa upande wa pili ni kodi zetu

    10. #8
      kitero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Location : Kaskazini
      Posts : 516
      Rep Power : 468
      Likes Received
      97
      Likes Given
      48

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Kijiweni kwetu kuna jamaa kaja na T-shirt yake na kofia vya kupewa,matokeo yake kaishia kuzomewa ugomvi na kuchaniwa fulana lake.

    11. #9
      SIMBA WA TARANGA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2012
      Location : Kapugi-Tukuyu
      Posts : 976
      Rep Power : 561
      Likes Received
      209
      Likes Given
      150

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Hivi leo hapakuwa na pilau?

    12. #10
      MNAMBOWA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2011
      Posts : 700
      Rep Power : 524
      Likes Received
      70
      Likes Given
      30

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      kwa kipimo cha kujaza watu cdm mnajidanganya ,, nguvu mnayo?.

    13. #11
      ndenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Location : Kigamboni New City
      Posts : 1,049
      Rep Power : 636
      Likes Received
      269
      Likes Given
      84

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Kama CCM nao wataanza kuiga na kuanzisha operation yao..itakuwa wanajitafutia matatizo maana hiyo pesa itakayotumika bora wangeitumia kutekelezea ilani..Tujaribu kupunguza siasa jamani tuwazie maendeleo ya nchi yetu. Coz nilichoona pale Jangwani ni siasa tupu.

    14. #12
      ndenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Location : Kigamboni New City
      Posts : 1,049
      Rep Power : 636
      Likes Received
      269
      Likes Given
      84

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Kuna haja gani kwa CCM kufanya mikutano mikoani kuelezea utakelezaji wa ilani kwani Rais Kikwate si anatoa hotuba ya kila mwezi ataweza kuelezea utakelezaji wake..pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya..

    15. #13
      Gwankaja Gwakilingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th January 2012
      Location : Masoko Busisya
      Posts : 1,199
      Rep Power : 608
      Likes Received
      326
      Likes Given
      32

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Nilitegemea niwakute ccm site wakisimamia miradi ya ahadi walizotuahidi wametuita CDM square kutueleza utumbo ule mwenye akili timamu hawezi kwenda pale hata siku moja
      kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac

    16. #14
      Makala Jr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 1,589
      Rep Power : 708
      Likes Received
      329
      Likes Given
      0

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Nape ni vema ukawaomba radhi waislam wa jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya kisasa. Ukifuatilia hotuba ya Dr.Shein ni kwamba kundi hilo lilikuwa na ujumbe wa kisiasa kuhusu muungano ila liliwasilisha ujumbe wake kwa njia ya kidini. Napata shida kujua uwezo wa kufikiri wa Nape kabla ya kuzungumza.

      Nape una nafasi ndani ya serikali ya CCM ya kufanya utafiti kuhusu chanzo cha vurugu na kutafuta namna ya kuzuia ili yasitokee tena. Pia Nape tunakubali vurugu zile ni mbaya lakini, kwa akili yako unaamini jumuiya ya UAMSHO ni wapumbavu? Unawaita majambazi na CCM tafsiri yake nini? We unadhani waislam wale ni wapuuzi tu na hawakuwa na madai ya msingi.

      The means was not good but how about the claims! Ujinga huu hautakaa uvumiliwe kwani...kwenye vurugu mlizosababisha kwenye uchaguzi wa meya Arusha na kuua watu hamkujiita MAJAMBAZI. Kwa mantiki hii ni CHADEMA tu ndo huheshimu dini zote ila CCM inakipaka matope CHADEMA. NAPE jipangeee!

    17. #15
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,902
      Rep Power : 5058
      Likes Received
      3198
      Likes Given
      2635

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Nape na magamba wenzake kwishney!!

    18. #16
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Quote By kitero
      Kijiweni kwetu kuna jamaa kaja na T-shirt yake na kofia vya kupewa,matokeo yake kaishia kuzomewa ugomvi na kuchaniwa fulana lake.
      Watu wamechoka na CCM na CCM wanalitambua hilo.

    19. #17
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Quote By ndenga
      Kama CCM nao wataanza kuiga na kuanzisha operation yao..itakuwa wanajitafutia matatizo maana hiyo pesa itakayotumika bora wangeitumia kutekelezea ilani..Tujaribu kupunguza siasa jamani tuwazie maendeleo ya nchi yetu. Coz nilichoona pale Jangwani ni siasa tupu.
      Hiyo ndiyo CCM na huo ndiyo ubunifu wao.

    20. #18
      wakuwaza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 438
      Likes Received
      20
      Likes Given
      11

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      CCM sasa wanamkimbia kivuli chao.

    21. #19
      wakuwaza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 438
      Likes Received
      20
      Likes Given
      11

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      CCM sasa wanamkimbia kivuli chao.

    22. #20
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,805
      Rep Power : 11186
      Likes Received
      6991
      Likes Given
      5170

      Default Re: Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

      Hivi TANU nayo ilikuwa ikisomba watu kwa mabasi na kuwalipa ili wahudhurie mikutano ya hadhara?
      Kweli ccm imepauka, kutoka kijani kibichi hadi white, yaani hamna kitu kabisa
      KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...