Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

    Report Post
    Results 1 to 20 of 20
    1. #1
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,876
      Rep Power : 1692
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      chama cha madaktari nchini MAT kimeitisha mkutano wa kutoa mrejesho kwa madaktari na kada nyingine za afya juu ya mazungumnzo kati ya serikali na kamati teule ya madaktari.
      kikao hiki kinaonekana ni cha siri mno lakini tutajitahidi kuwapa updates kadri inavyowezekana.

      Hakuna jipya, madai yote yametupwa kule. (1) Mshahara utapanda pamoja na sekta nyingine mwezi July. 2) Posho ya nyumba, serikali itajenga nyumba 700 ktk mikoa 70 na si drs wote watapewa nyumba wala posho ya nyumba. 3) Call allowance zitabaki kama waziri mkuu Pinda alivyozipandisha Feb. 4) Hardship na risk allowance serikali itaona ni jinsi ngani watatekeleza ktk bajeti ya 2013/14. 5) BIMA, serikali itajadiliana na wizara ya afya jinsi gani watakavyofanya na wakifikia muafaka watatueleza walichoamua. 6) Serikali imeandaa muundo wa kukopesha watumishi wa serikali kuu magari kuanzia bajeti ijayo ya 2012/13
      Last edited by Jackbauer; 9th June 2012 at 13:34.
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    2. Miaka 50

    3. #2
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,707
      Rep Power : 11284
      Likes Received
      1483
      Likes Given
      574

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Kwanini iwe cha siri kiasi hiki?

    4. #3
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,876
      Rep Power : 1692
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By LiverpoolFC
      Kwanini iwe cha siri kiasi hiki?
      inashangaza wengi....tuendelee kusubiri,usije sikia kuna maamuzi magumu yatafikiwa.
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    5. #4
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1210
      Likes Given
      1253

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      pamoja sana wakuu..ila nasikia hivi vikao huwa bakhresa huwa anahunduria na kumwaga minoti ndo maana hawa jamaa huwa wakirudi wanakua wapole kama hawajui kinachoendelea

    6. #5

      Quote By asigwa
      pamoja sana wakuu..ila nasikia hivi vikao huwa bakhresa huwa anahunduria na kumwaga minoti ndo maana hawa jamaa huwa wakirudi wanakua wapole kama hawajui kinachoendelea
      bakharessa yuko jangwani sio huku!
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,876
      Rep Power : 1692
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      yaelekea kwamba serikali imegoma kupandisha mishahara na maslahi ya madaktari kwa kuogopa ugomvi na kada nyingine.
      naona mgomo mwingine unanukia.
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    9. #7
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,707
      Rep Power : 11284
      Likes Received
      1483
      Likes Given
      574

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Hii kauli ya huyu Mheshiwa sitaisahau:

      Unaweza ukazini kwa siri,lakini

      hauwezi ukaugua ukimwi kwa siri!
      Tutajua tu! Hakuna siri chini ya jua hili!

    10. #8
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,876
      Rep Power : 1692
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      mjadala wa nini kifanyike unaendelea.....
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    11. #9
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1210
      Likes Given
      1253

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By Jackbauer
      inashangaza wengi....tuendelee kusubiri,usije sikia kuna maamuzi magumu yatafikiwa.
      kwani akiwa jangwani pesa yake haiezi kuwamwagia minoti??

      njaa nazo huwa tabu sana kwa hawa jamaa zetu

    12. #10
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,876
      Rep Power : 1692
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      mjadala unaoendelea unaashiria mgomo mwingine wa madaktari na kada zote za afya kutokea.
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    13. #11
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By LiverpoolFC
      Kwanini iwe cha siri kiasi hiki?
      Wewe hujui walienda Ikulu wakatoka kimya kimya mpaka leo. Usifanye mchezo na Serikali.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #12
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      madaktari kutangaza mgomo mwingine wiki mbili kutoka sasa!!
      "Three may keep a secret if two of them are dead"

    15. #13
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By meningitis
      madaktari kutangaza mgomo mwingine wiki mbili kutoka sasa!!
      Wishful thinking!
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #14
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By zomba
      Wishful thinking!
      sio mgomo wa madaktari pekee bali ni sekta nzima ya afya.
      "Three may keep a secret if two of them are dead"

    17. #15
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By meningitis
      sio mgomo wa madaktari pekee bali ni sekta nzima ya afya.
      Kwi kwi kwi teh teh teh! waulize wenzako waliokwenda Ikulu kama kuna kati yao ataetangaza mgomo. Kwanza bado wapo kwenye chama?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    18. #16
      Laurence's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2011
      Location : ULIMWENGUNI
      Posts : 2,043
      Rep Power : 1395
      Likes Received
      175
      Likes Given
      41

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Mie nawatakia maazimio mema maana hii serikali inaleta masihara na maisha ya wananchi

    19. #17
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By zomba
      Kwi kwi kwi teh teh teh! waulize wenzako waliokwenda Ikulu kama kuna kati yao ataetangaza mgomo. Kwanza bado wapo kwenye chama?
      dr charles godbless ndio aliyewasilisha taarifa!unadhani wanatishia?
      "Three may keep a secret if two of them are dead"

    20. #18
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      Quote By Laurence
      Mie nawatakia maazimio mema maana hii serikali inaleta masihara na maisha ya wananchi
      serikali iko jangwani inagawa ubwabwa!
      "Three may keep a secret if two of them are dead"

    21. #19
      Makene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,185
      Rep Power : 671
      Likes Received
      207
      Likes Given
      155

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      raisi atawadhoofisha madactari na hoja zao, yeye ni president weak.

    22. #20
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Re: UPDATES:Mkutano wa madaktari na kada nyingine za afya

      hivi suala la bima linahitaji majadiliano ya muda gani?

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...