Wah wa JF, ninatafakari haya yanayoendelea Arusha ya viongozi wa CCM kujitoa na kuhamia chadema kama yana mkono wa EL. Kama ni ndiyo, maana yake ni nini? Kwa nini wakimbilie chadema? Je yeye mh EL anaweza kujitoa CCM na kukimbilia chadema? Hebu tutafakari jamani?

Reply With Quote
Follow Us Here