Mbunge wa CCM ametoa kauli dhidi ya Serikali yake kwamba "KOSA KUBWA AMBALO SERIKALI WANAFANYA NI KUDHANI KWAMBA TANZANIA NI MALI YA CCM!"
Mbunge wa CCM ametoa kauli dhidi ya Serikali yake kwamba "KOSA KUBWA AMBALO SERIKALI WANAFANYA NI KUDHANI KWAMBA TANZANIA NI MALI YA CCM!"
Miaka 50 ya Uhuru!? Ee Mungu tusaidie Wa-tz... Tumechoka, tukomboe sasa.
This is a bold statement! HI NDIYO KUJIVUA gAMBA?
The seeds of doubt and discouragement sprout in the soil of ignorance!!!
hii ni dalili ya
1.baadhi ya wana ccm wanaanza kuona nuru/ukweli na kuukataa uongo hadharani
2. huu ni mchakato wa kufikia maamuzi ambayo hata jk,ccm na serikali yake wanaweza wakashangaa
mwanadamu hudanganywa mara moja lakini akiujua ukweli huwezi kumdanganya tena
Last edited by assuredly4; 19th April 2012 at 19:28.
Hii kauli haina jipya lolote...sote tunajua kuwa hii ni nchi yetu sote isipokuwa wana CCM.anachofanya ni kuwakumbusha tu walevi wa madaraka wa CCM.
Nadhani mahali muafaka kutoa kauli hii ni vikao vya CCM.
Binadamu ambaye haamini chochote na ambaye hasimamii chochote anachokiamini wala kukipigania , huweza kuangushwa kirahisi na kitu chochote kitakachomkabili. - Malcom X.
Follow Us Here