Breaking newz..katibu muenezi LONGIDO wa ccm anakuja... Amekwisha toka huko kwa mafisadi anajiunga na CHADEMA!
Breaking newz..katibu muenezi LONGIDO wa ccm anakuja... Amekwisha toka huko kwa mafisadi anajiunga na CHADEMA!
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Aisee, bado nazi ya bagamoyo.
Bado baba rizi!
Angalizo:
CHADEMA kuweni makini na Magamba
Wanaweza kuleta utata kwani CHADEMA kinaweza kuchukuliwa kama kimbilio la Magamba na hivyo kuwa sawa na C.C.M. Kwa sababu C.C.M. ni chama, na chama ni watu; watu wenyewe ndio wanakuja CHADEMA!
upepo wa m4c unavuma kwa kasi sana.safi sana
Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja
Atakuja chama dume CDM. Ila lazima tukiri ushindi wa Nassari umeamsha wengi, hususani kwa wapinzani ccm wetu wanaokamia kuwa chama cha upinzani hapo 2015, wengi wameamini ccm hapawafai, amini wimbi la wahamiaji litaongezeka sana ndani ya muda mfupi kabla 2015 haijakaribia
Kuwa na msimamo katika kile unachoamini ndio utu wako na kwa hivyo utakumbukwa
Kuna haja ya CDM kuandaa utaratibu wa kuwapokea hawa watu maana isije ikawa wanatumwa.nakumbuka wakati wa mwanzoni mwa kujitangaza kuhusu UKIMWI wapo wanaodai walihasirika na VVU na kujitangaza kumbe walikuwa wanapewa hela kuwadanganya wafadhili.
Hii kali jamani nahisi safu inayofuata ni wenyeviti na wakuu wa wilaya na mikoa. Tusubiri ni muda tuu
Vip, ndio maana mwenyekiti ameenda Brazil kupumzika?, hataki kuona eti?
Mda umekaribia wakuwaongoza watanzania kwenye nchi yao yenye asali na maziwa!...wait!
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Wanakaribishwa Chadema ila waje wawe WANACHAMA WA KAWAIDA KAMA MIMI no cheo no kugombea.
Tuwapokee, maana ni watanzania wenzetu, isipo kuwa TUWE NAO MAKINI, maana CHUI NI CHUI TU hata kama kavaa ngozi ya kondoo.
Follow Us Here