Pamoja na kuwepo Arumeru Mashariki kwa kampeni za chinichini na jukwaani,Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa ameshindwa.Ameshindwa kila kitu.Kumtetea mkwewe,kujitetea mwenyewe nk.Lowassa ameonekana wazi,pamoja na kumwaga fedha nyingi kwa ajili ya mapokezi,kuwa si mtu anayevutia.Hana sera zenye mshiko.U-laigwan wake si lolote.Ni afadhali asingejihusisha kwenye uchaguzi ule..

Reply With Quote



Follow Us Here