waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa.
Anasema wamekuwa wamekuwa wakikandamiza vyama vya upinzan wakati rasilimal za Taifa kama wanyama hai zaid ya 120 wakiibiwa wakati usalama wa Taifa wapo. Aongelea pia kuhusu Suala la rushwa kwa Dr Hosea kunyimwa makucha katika kukamata vigogo.

Reply With Quote


Follow Us Here