Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Report Post
    Page 30 of 60 FirstFirst ... 20282930313240 ... LastLast
    Results 581 to 600 of 1191
    1. #1
      saggy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2008
      Posts : 126
      Rep Power : 562
      Likes Received
      33
      Likes Given
      2

      Thumbs down Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

      Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni yangu na nina haki ya kuwa tofauti au sawa kimawazo na mtu yoyote.EL anaifaa Tanzania kwa sababu zifuatazo:-

      Ni Kiongozi huyu shupavu,jasiri na mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama na serikali kwa upande wa serikali hili linadhihirika aliposhika nyazfa mbali mbali kama:-

      a.Kusimamia Sekta ya Elimu ambayo ndiyo Uti wa mgongo wa maendeleo ya Taifa lolote hapa Duniani.Alisimamia kwa ukakamavu kutekeleza mpango wa kupanua Elimu ya Sekondari na alihimiza kwa nguvu zake zote ujenzi wa Shule za Kata Nchi nzima ili kuwapa Fursa Mamilioni ya Watanzania wenzetu waishio Vijijini kupata Fursa ya Elimu.

      Zoezi hili lilihitaji uwekezaji mkubwa sana na Tukumbuke kwamba Taifa letu ni Maskini sana,changamoto zilizo ikabili Sekta ya Elimu kama Ukosefu wa vifaa vya maabara,Nyumba za Walimu,Madarasa ya Kutosha na upungufu wa Vitabu si kosa la mtu Fulani bali umaskini wa Taifa letu ndio maana WB na IMF hutoa misaada kwa nchi maskini kusaidia maendeleo ya Elimu kwakuwa ni Sekta inayohitaji uwekezaji mkubwa kifedha na Rasilimali zingine.

      EL ni mtu anayeamini katika Elimu ndi maana motto wake ni tofauti kidogo na Motto wa Chama chake na anasema ’’ ELIMU KABLA,KILIMO KWANZA’’ Ni kweli kabisa kwamba hakuna linaloweza kufanikiwa bila Elimu,Unaweza kuwaambia watu wasio na Elimu ya kutosha Walime Kilimo cha Kisasa?Me I agree kwamba Elimu KABLA na Kilimo Kwanza.

      Mataifa Makubwa yaliondelea leo Duniani yalifanya uwekezaji Mkubwa kwanza katika Elimu,hasa Elimu ya Msingi(Kwa mfano China,Brazil na USA) na Baadaye kufanya Mapinduzi Makubwa ya Kilimo,baadaye Viwanda Vidogo na baadaye Viwanda vikubwa ambavyo vilichochea kukua kwa kasi kwa Sekta za Huduma na kupelekea mfumuko wa nafasi kibao za ajira kwa Vijana!!!

      b.Kuwafukuza bila woga hadi kuwasindikiza Airport wawekezaji wababaishaji wa Kampuni ya City Water hadi kuwapandisha ndege uwanja wa
      Taifa:

      Akiwa Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo ,EL alitekeleza wajibu wake kwa umahili mkubwa na bila uwoga na moja ya mambo ambayo yatakumbukwa ni kufukuzwa kwa wawekezaji wababaishaji wa Kampuni ya Kitapeli ya City Water ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao,aliwatimua na kuwasindikiza hadi Airport!EL ni Kiongozi Shupavu sana na asiyeogopa mtu!

      c.Kiongozi Mwajibikaji na asiyeogopa kufanya maamuzi magumu hata kama yatamuuza

      Kujiuzulu kwake kutoka katika Wadhfa wake wa Uwaziri Mkuu kufuatia Kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond inachukuliwa na wengi kama kuhusika kwake katika Saga hilo.Napenda kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Waziri Mkuu ndiye mtendaii Mkuu wa Shughuli za Serikali na mtekelezaji wa Maagizo ya Baraza la Mawaziri ambacho kimsingi ndicho chombo kikubwa cha Utendaji wa serikali (Govt. Machine) na hivyo kama kuna Kosa linafanyika basi Linatosha kuiangusha Serikali nzima so katika SAGA ile ilibidi Serikali Nzima akiwa ni Pamoja na Rais wajiuzuru lakini EL akubali mwenyewe kwa ajili ya kulinda heshima ya Chama chake na Serikali, huu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Waafrika wote.

      Siku zote tatizo letu waafrika ni kukosa kuwajibika pale inapobainika uzembe umefanyika,ukweli umebaki kuwa wazi mpake leo hii NCHI IPO GIZANI migao ya Umeme inaendele kama kawaida na dada wa Richmond ambaye ni Dowans Mitambo yake inawashwa na tumerudi pale pale!! Mimi nasema kwa kosa la Richmond,Serikali nzima ilikuwa imeanguka.

      d.Mfuatiliaji na asiyechoka kufuatilia kero za na hakai ofisini kungoja taarifa
      Wakati wa janga la Njaa lilisababishwa na ukame kwa msimu wa mwaka 2007/08 ni huyu EL alikuwa akishirikiana na Wakuu wa Wilaya zote zenye njaa na wakati mwingine alishiriki yeye mwenyewe kupita nyumba kwa nyumba kusimamia zoezi la ugawaji wa chakula kwenye Familia zenye njaa ili kuhakikisha kwamba azma ya serikali ya kwamba hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa inatimizwa ni huyu huyu EL.

      Mtu hawezi kukosa mapungufu hata siku moja,nakubali ana mapungufu yake lakini EL ni embe dodo lililoiva tayari kuvunwa na Watanzania Mwaka ukifika 2015.

      Nawaleteeni EL

    2. Miaka 50

    3. #581
      tyadcodar's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th August 2011
      Posts : 128
      Rep Power : 418
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Kuliko kikwete,sita yaani ndani ya ccm lowasa is the best candidate,seriously i say,wengine wote wanafiki

    4. #582
      mashikolomageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : Dar es Salaam, Tanzania
      Posts : 1,445
      Rep Power : 766
      Likes Received
      144
      Likes Given
      130

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Asante nimekusikia naipenda nchi yangu! Lowasa Hapana

    5. #583
      tyadcodar's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th August 2011
      Posts : 128
      Rep Power : 418
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Ungejua uchafuzi na mchezo wa jk towards 2015 ndiyo utajua lowassa si mchafu kiasi hicho he is the best,kiongozi anaweza onyesha mamlaka aliyopewa kuliko kuonyesha meno na wengine kujipendekeza

    6. #584
      Mjenda Chilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2011
      Posts : 769
      Rep Power : 554
      Likes Received
      237
      Likes Given
      3

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Jairo kasafishwa karudi karudi kazini. Lowasa alitoswaa? mbona tuhuma za lowasa hazikuwa na mshiko wowote? nani aliyejitokeza hadharani na kutamka bayana kuwa zile 154,000,000 za Richmond zilikuwa ni service charge tu? na makampuni mengine yanapata kubwa zaidi ya hizo, who came out? who explained this????? why now? Au jamaa anatisha eeh. Go Lowasa Go

    7. #585
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Kwa nini Lowassa anafaa kuwa Raisi wa Tanzania?

      Quote By Kinyungu
      Hivi EL ataendelea kuteseka na kinyongo moyoni mpaka lini? Kwani asije front akawambia watanzania A-Z ya maroroso yoooote ya JK na walivyokuwa wakifanya madudu yao. Hiyo pekee ndiyo itatuthibitishia kuwa EL ni msafi na kupata tena kura yangu
      anasubiri wakati wa kampeni usidhani ye mjinga unadhani kwa nini ccm wenyewe wamefyata mkia kwa EL????
      there is something behind
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    8. FemaTV & Radio

    9. #586
      JEMADARI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 13
      Rep Power : 434
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      kwa mliotumwa na huyu baba au vibaraka wa karibu wa huyu baba, habari ni hii: yawezekana ana mazuri yake, ila tukiweka kwenye mizani na tukapima hayo mazuri na mabaya, bakuli la mabaya yamkini ni zito zaidi. Sasa basi, tunamshukuru kwa jitihada zake mbali mbali za kusogeza maendeleo katika nchi yetu lakini hatuko tayari aongoze nchi yetu kwasababu yaonesha si mwepesi kuzuia tamaa zake. Pia si vema, kujiaminisha kuwa awezaye kuongoza nchi ni fulani tu kana kwamba kuna sauti ilitoka mbinguni na kutuambia hivyo, kama wakati Yohana mbatizaji akimbatiza Yesu.
      Sina ill-feelings na Lowassa na ninamuunga mkono kwenye utumishi wake kwa wana-monduli

    10. #587
      Goheki's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd August 2011
      Posts : 175
      Rep Power : 427
      Likes Received
      41
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Anyisile Obheli
      anasubiri wakati wa kampeni usidhani ye mjinga unadhani kwa nini ccm wenyewe wamefyata mkia kwa EL????<br />
      there is something behind
      <br />
      <br />

    11. #588
      Singo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Posts : 297
      Rep Power : 603
      Likes Received
      42
      Likes Given
      213

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      anafaa mara kumi elfu ya jk, ila ukimpambanisha na slaa kazi anayo

    12. #589
      saggy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2008
      Posts : 126
      Rep Power : 562
      Likes Received
      33
      Likes Given
      2

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Ukimpambanisha na nani?CDM wanajua EL ndiye mgombea aliyebaki mwenye Nguvu nyingi ndani ya Sisiem kuweza kutoa Upinzani Mkali na kuingangusha kambi ya Upinzani ndio maana wanamwandama ili sisiem wamtose....Mimi nasema EL asimamishwe na ataiangusha kambi ya Upinzani..

      Kwa Upande wa Dr.Slaaaaa,mimi sina neno naye,na yeye ni Smart sana,mzee yule mimi namkubali sanaaaaa,ana uwezo kwakweli,mtu yoyote aliye na Elimu Kichwani ya Kutosha,hata kama Hana Elimu anamkubali.But he is not Experienced like EL,kwa maoni yangu Slaaaaa hana uzoefu wa kutosha katika Siasa na Uongozi kama EL. Haya ni maoni yangu.

      EL GO go GO gooooooooooooooooooooooooo

    13. #590
      mwanza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th May 2009
      Posts : 116
      Rep Power : 534
      Likes Received
      17
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By tyadcodar
      Kuliko kikwete,sita yaani ndani ya ccm lowasa is the best candidate,seriously i say,wengine wote wanafiki
      <br />
      <br />
      Magufuli

    14. #591
      mmaroroi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 999
      Likes Received
      104
      Likes Given
      79

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Mods ondoeni thread hii, inaidhalilisha JF kana kwamba inawafanyia kampeni mafisadi.Nawasilisha.

    15. #592
      Mh SAMBALA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2011
      Posts : 41
      Rep Power : 412
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      mhmmmm sina neno

    16. #593
      chitage's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 28
      Rep Power : 578
      Likes Received
      36
      Likes Given
      1

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      ltanzania imekuwepo kabla ya lowasa na itakuwepo baada ya lowasa,anapigiwa debe kama mungumtu,mod ondoa upuuzi huu kwenye jukwaa.

    17. #594
      saggy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2008
      Posts : 126
      Rep Power : 562
      Likes Received
      33
      Likes Given
      2

      Thumbs down Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Nakuonea huruma sana wewe unayesema Thread hii ifutwe, unaonekana namna ulivyo FIRSIKA kimawazo sana,kama huna hoja waache wenye Hoja waseme,kwa Taarifa yako ni kwamba wanadamu hatupo sawa,kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na ndio maana Jamii Forums imejipatia Heshima kubwa sana Tanzania na Duniani kote,hatuwezi kusema mambo ambayo wewe tu ndo unataka kuyasikia,kila mtu ana akili zake na Utashi wake,thats why si busara kupinga wazo la mtu humu.

      Leta Hoja kama unayo ndugu yangu,Leta ushahidi kama unao wa kuweza kupinga Hoja iliyowasilishwa,Ofcoz mimi sipo hapa kumtetea wala kumjenga mtu hapa,nimewasilisha Hoja na kila mwenye Mchango atachangia.

      Hatuwezi kujenga Nchi ya Majungu jamani,kama una HOJA lete na wana Jamiii wataipima na Kama una Ushahidi pia ulete hapa tuuone na si kukimbilia Majungu jamani,hii sio Forum ya Majungu.

      Katiba ya Tanzania ipo na Sheria zipo,Bunge lipo na Mahakama zipo,lete HOJA hapa Bwana,kama huna Hoja,umefirisika mawzo na endelea kuwa mtazamaji tu.

      Karibuni katika Sehemu ya Pili ya Hoja iliyowasilishwa hapa ,''Kwanini EL anafaa kuwa Raisi wa Tanzania?'' kuanzia January 2012 mada hii itarushwa hapa tena,msikose!!!!

    18. #595
      saggy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2008
      Posts : 126
      Rep Power : 562
      Likes Received
      33
      Likes Given
      2

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Sasa kazi imeisha kukamilika,Habari zilizotufikia zinasema,Kundi la Wabunge wafuasi wa EL wamekamilisha Ushahidi na Nyaraka zote kuhusu Sakata linalomkabili aliyewashi kuwa Spikaaaa wa Bunge letu la Tanzania Mhhhh.Pyuuusi Msweeekwa na zitawsilishwa kwenye kikao cha NEC mwezi Ujao.Wabunge hao wakiongozwa na Mbunge mwanamke aliyetokea kuwa machachari sana wameapa kwamba siku ya kikao Hicho na Mh.Msweeekwa nayeye atang'olewa madarakani kabla hajaanza kuendesha kikao Hicho.

      Wachunguzi wa masuala ya Kisiasa wanasema,Kutakuwa na MALUMBANO makali kati ya Wafuasi Wabunge ambao ni Wafuasi wa EL na Kambi ya Wavua Magamba inayoongozwa na '' Naye Huyooo Peke yakeee'' na wamemwonya Mwenyekiti kujiepusha Mbali na Makamu wake huyo ili kuzuia Malumbano makali ya Kambi hizo.

      EL ,Moja ya Wanasiasa Jabali na Kisiki ndani ya Sisiema,ameapa kwamba atafichua kile kinachosemwa na wengi ''SIRI NZITO'' na huenda pakatokea Patashika na Ghasia kubwa sana siku ya kikao hicho..

      Karibuni

    19. #596
      Mwene wa Yumbi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th August 2011
      Posts : 13
      Rep Power : 395
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Kwanini LOWASSA anafaa kuwa Raisi wa Tanzania?

      Quote By saggy
      Jenga hoja sio kukimbilia kusema anasafishwa,jenga hoja hapa,hii sio Forum ya Udaku!
      I couldn't agree with you more!

    20. #597
      Mwene wa Yumbi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th August 2011
      Posts : 13
      Rep Power : 395
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Quote By saggy
      Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni yangu na nina haki ya kuwa tofauti au sawa kimawazo na mtu yoyote.EL anaifaa Tanzania kwa sababu zifuatazo:-

      Ni Kiongozi huyu shupavu,jasiri na mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama na serikali kwa upande wa serikali hili linadhihirika aliposhika nyazfa mbali mbali kama:-

      a.Kusimamia Sekta ya Elimu ambayo ndiyo Uti wa mgongo wa maendeleo ya Taifa lolote hapa Duniani.Alisimamia kwa ukakamavu kutekeleza mpango wa kupanua Elimu ya Sekondari na alihimiza kwa nguvu zake zote ujenzi wa Shule za Kata Nchi nzima ili kuwapa Fursa Mamilioni ya Watanzania wenzetu waishio Vijijini kupata Fursa ya Elimu.

      Zoezi hili lilihitaji uwekezaji mkubwa sana na Tukumbuke kwamba Taifa letu ni Maskini sana,changamoto zilizo ikabili Sekta ya Elimu kama Ukosefu wa vifaa vya maabara,Nyumba za Walimu,Madarasa ya Kutosha na upungufu wa Vitabu si kosa la mtu Fulani bali umaskini wa Taifa letu ndio maana WB na IMF hutoa misaada kwa nchi maskini kusaidia maendeleo ya Elimu kwakuwa ni Sekta inayohitaji uwekezaji mkubwa kifedha na Rasilimali zingine.

      EL ni mtu anayeamini katika Elimu ndi maana motto wake ni tofauti kidogo na Motto wa Chama chake na anasema ’’ ELIMU KABLA,KILIMO KWANZA’’ Ni kweli kabisa kwamba hakuna linaloweza kufanikiwa bila Elimu,Unaweza kuwaambia watu wasio na Elimu ya kutosha Walime Kilimo cha Kisasa?Me I agree kwamba Elimu KABLA na Kilimo Kwanza.

      Mataifa Makubwa yaliondelea leo Duniani yalifanya uwekezaji Mkubwa kwanza katika Elimu,hasa Elimu ya Msingi(Kwa mfano China,Brazil na USA) na Baadaye kufanya Mapinduzi Makubwa ya Kilimo,baadaye Viwanda Vidogo na baadaye Viwanda vikubwa ambavyo vilichochea kukua kwa kasi kwa Sekta za Huduma na kupelekea mfumuko wa nafasi kibao za ajira kwa Vijana!!!

      b.Kuwafukuza bila woga hadi kuwasindikiza Airport wawekezaji wababaishaji wa Kampuni ya City Water hadi kuwapandisha ndege uwanja wa
      Taifa:

      Akiwa Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo ,EL alitekeleza wajibu wake kwa umahili mkubwa na bila uwoga na moja ya mambo ambayo yatakumbukwa ni kufukuzwa kwa wawekezaji wababaishaji wa Kampuni ya Kitapeli ya City Water ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao,aliwatimua na kuwasindikiza hadi Airport!EL ni Kiongozi Shupavu sana na asiyeogopa mtu!

      c.Kiongozi Mwajibikaji na asiyeogopa kufanya maamuzi magumu hata kama yatamuuza

      Kujiuzulu kwake kutoka katika Wadhfa wake wa Uwaziri Mkuu kufuatia Kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond inachukuliwa na wengi kama kuhusika kwake katika Saga hilo.Napenda kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Waziri Mkuu ndiye mtendaii Mkuu wa Shughuli za Serikali na mtekelezaji wa Maagizo ya Baraza la Mawaziri ambacho kimsingi ndicho chombo kikubwa cha Utendaji wa serikali (Govt. Machine) na hivyo kama kuna Kosa linafanyika basi Linatosha kuiangusha Serikali nzima so katika SAGA ile ilibidi Serikali Nzima akiwa ni Pamoja na Rais wajiuzuru lakini EL akubali mwenyewe kwa ajili ya kulinda heshima ya Chama chake na Serikali, huu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Waafrika wote.

      Siku zote tatizo letu waafrika ni kukosa kuwajibika pale inapobainika uzembe umefanyika,ukweli umebaki kuwa wazi mpake leo hii NCHI IPO GIZANI migao ya Umeme inaendele kama kawaida na dada wa Richmond ambaye ni Dowans Mitambo yake inawashwa na tumerudi pale pale!! Mimi nasema kwa kosa la Richmond,Serikali nzima ilikuwa imeanguka.

      d.Mfuatiliaji na asiyechoka kufuatilia kero za na hakai ofisini kungoja taarifa
      Wakati wa janga la Njaa lilisababishwa na ukame kwa msimu wa mwaka 2007/08 ni huyu EL alikuwa akishirikiana na Wakuu wa Wilaya zote zenye njaa na wakati mwingine alishiriki yeye mwenyewe kupita nyumba kwa nyumba kusimamia zoezi la ugawaji wa chakula kwenye Familia zenye njaa ili kuhakikisha kwamba azma ya serikali ya kwamba hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa inatimizwa ni huyu huyu EL.

      Mtu hawezi kukosa mapungufu hata siku moja,nakubali ana mapungufu yake lakini EL ni embe dodo lililoiva tayari kuvunwa na Watanzania Mwaka ukifika 2015.

      Nawaleteeni EL
      Umesahau ni yeye aliyewanyang'anya visiwa watu waliokuwa wamemilikishwa visiwa vidogo vidogo katika bahari ya Hindi enzi za awamu ya pili. Alipopewa tu uwaziri wa ardhi akatangaza kuvirudisha serikalini visiwa vyote

    21. #598
      Alwatan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2009
      Posts : 391
      Rep Power : 588
      Likes Received
      105
      Likes Given
      186

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Quote By saggy
      Sasa kazi imeisha kukamilika,Habari zilizotufikia zinasema,Kundi la Wabunge wafuasi wa EL wamekamilisha Ushahidi na Nyaraka zote kuhusu Sakata linalomkabili aliyewashi kuwa Spikaaaa wa Bunge letu la Tanzania Mhhhh.Pyuuusi Msweeekwa na zitawsilishwa kwenye kikao cha NEC mwezi Ujao.Wabunge hao wakiongozwa na Mbunge mwanamke aliyetokea kuwa machachari sana wameapa kwamba siku ya kikao Hicho na Mh.Msweeekwa nayeye atang'olewa madarakani kabla hajaanza kuendesha kikao Hicho.

      Wachunguzi wa masuala ya Kisiasa wanasema,Kutakuwa na MALUMBANO makali kati ya Wafuasi Wabunge ambao ni Wafuasi wa EL na Kambi ya Wavua Magamba inayoongozwa na '' Naye Huyooo Peke yakeee'' na wamemwonya Mwenyekiti kujiepusha Mbali na Makamu wake huyo ili kuzuia Malumbano makali ya Kambi hizo.

      EL ,Moja ya Wanasiasa Jabali na Kisiki ndani ya Sisiema,ameapa kwamba atafichua kile kinachosemwa na wengi ''SIRI NZITO'' na huenda pakatokea Patashika na Ghasia kubwa sana siku ya kikao hicho..

      Karibuni
      Sisiemu pambalamaa,.... sisiemu pambalamaa
      Kocheleni sisiemu eeh,... kocheleli sisiemu pambalamaa,
      ama kocheleni Sisiemu eeh, ama kocheleli sisemu pambalamaa,...
      sisiemu pambalama kocheleli sisiemu eeh
      Kocheleli sisiemu pambalama...ama kocheleli sisiemu eh

      Binafsi sijui ni kilugha gani, lakini nakumbuka miaka ya '70 wimbo huu ulikua maarufu sana
      kwenye redio mkulima. Watu walikua na fikra za kimapinduzi za kujikomboa kutoka kwenye
      utegemezi. Haikuwahi kufikiriwa eti kutakua na watu(tena wajumbe wa vikao nyeti) wanunuliwe
      na mtu mmoja, kwa nia ya kwenda kujidhalilisha na kuuza utu wao kwa sababu ya pesa.

      Hii ndio ilikua CCM ya Mwalimu. Chama ambacho maadili yaliheshimiwa na kusimamiwa. Asiyetaka
      aliambiwa wazi usoni kuwa wewe sasa umekua mzigo, tupishe!

      Enzi hizo hata shutuma ya kuwa fisadi ilitosha kukutimua kwenye nyadhifa zako zote.

      Leo hii ni kama Chama kinaelea tu... mafisadi wameshika hatamu. Na wamenunua na midomo ya
      kuwasemea kwenye vikao vya maamuzi wao wenyewe wakiwa kimya. Nchi imefikia pabaya sana...

      Lowasa hebu kaa pembeni uinusuru nchi yako kama kweli unamapenzi ya dhati na nchi hii. Hii hali
      ya kutaka mapambano yasiyo na tija ni kutokana na wapambe wako wengi hawana ajira wanauza
      maneno na kuchonganisha watu ili waishi mjini.

      Hivi Urais ni kitu gani mpaka usakamwe wewe tu? Au kuna biashara umepania kuifanya ukifika IKULU?
      Yasije yakawa yaleyale ya JK yanajirudia, tumeona vyeo kwa kulipa fadhila, nawewe Lowasa je hayo mabilioni
      na hilo kundi kubwa lote likifanikiwa kukuingiza IKULU tutegemee nini? Hasa ikizingatiwa linaratibiwa tena
      na Rostam... GOD PLEASE SAVE OUR BELOVED MOTHERLAND!

    22. #599
      saggy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2008
      Posts : 126
      Rep Power : 562
      Likes Received
      33
      Likes Given
      2

      Default Re: Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Kundi la Wabunge wafuasi wa EL tena kwa mara nyingine tena limefanikisha adhma yao ya kuiyumbisha sirikali katika kile kinachoelezwa na wapambe wa Kiongozi huyo kuwa utekelezaji wa Kauli yake wakati akijiuzulu mwaka 2008..

      ''NANI ATASIMAMA''

      Kundi la Wabunge hao liliamka kwa hasira na kuamrisha JD kurudishwa kifungoni ili kupisha Uchunguzi wa Kadhia yake unaofanywa na Kamati Teule ya Bunge,katika kile kinachoelezwa na wengi kwamba ni kukaribia kufumuka kwa ''SIRI NZITO'' huenda kuundwa kwa Kamati hiyo kukapelekea kufumuliwa kwa mambo mengine mengi zaidi na zaidi wakati wa Uchunguzi huo.

      Kwakweli EL ni Kiongozi Shupavu na mwenye mtandao mkubwa sana ndani ya chama na sirikali,nguvu yake kubwa na ushawishi alionao ndani ya chama kwa sasa ni wazi kwamba ndio unaotawala sasa.

      Hali inazidi kuwa tete huku Wabunge wafuasi wa EL wakiwa wamekamilisha mikakati yao ya kutikisa Sirikali kwa kufanya yafuatayo mara tuu baada ya Hotuba ya ''TANZANIA INAJUA,DUNIA INAJUA'' wakati wa kikao hiki cha Bunge linalomalizika leo.

      1.Kushawishi kukataliwa kwa Bajeti ya Wizara ya Nishati

      2.Kukataliwa na kushinikizwa kuongezwa kwa Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi ili kutekeleza Agizo la EL la kutaka Sirikaliii kufanya maamuzi magumu na kufufua Bandari kuu na Reli

      2.Kumdhoofisha Makami mwenyekiti kwa kufichua maovu yake ambayo yamemny'onyeza na kumpunguzia mvuto kwa wana Sisiem wakati wa kuelekea kikao cha NEEC mwezi September,sasa Spiika huyo wa zamani ameshavikwa jina la GAMBA jipya

      3.Kushinikiza JD kurudishwa Likizo ya bila malipo baada ya kusafishwa na CAAAG na Ikuuuuluuuu

      4.Kumshawishi RA ajiuzulu ili kukipatia chama wakati mgumu wa kutete Jimbo kwa Uchaguzi na hivyo kijisahau kushughulikia mambo ya msingi ,kama kujivua Gamba

      Wafuasi hao wa EL Wameapa kuendelea na harakati zao kufa na kupona na wanamshihikiza EL kutoa kile kinachoitwa ''SIRI NZITO'' kwa wanachi woote wa Tanzania.

      Habari zinasema kwamba katika mkakati huo wa wafuasi wa EL,vyombo vya Habari vya magazeti ya DIRA na TBC vimechaguliwa na wajumbe wa Kamati Teule ya Wabunge wafuasi wa EL kutumika katika harakati zao..

      Nawasilisha

    23. #600
      Dr Know know's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 20th August 2011
      Posts : 8
      Rep Power : 393
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Post Re: Kwa nini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?

      Namkubali sana Mshikaji..Ni kweli kila mmoja na mtazamo wake..mwingine atasema hasafishiki..mwingine atahoji kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania ? Kimsingi hakuna aliyepangwa kuwa Rais,.Makamu wa Rais.,Waziri mkuu.,Waziri.,Mkuu wa mkoa,Mkuu wa wilaya.,Mbunge.,Diwani,Mwenyek iti wa mtaa/Kitongoji n.k bila jitihada zake binafsi pamoja na mambo mengine.Labda niseme kwamba.,sina maslahi na chama chochote cha siasa,wala mtu yeyote..natoa maoni yangu kama wadau waliotangulia hapo juu na nikiwa mtanzania huru.,siipendi siasa kutokana na haya yanayojiri kuihusu siasa.,lakini naifuatilia sana ukichukulia kwamba siasa ndio inayoongoza Dunia.Lowassa alifanya uamuzi mgumu sana kujiuzuru kuinusuru Serikali na Chama Chake,inawezekana alijua consequences zake,na labda amesalitiwa;kama kuna lolote analolijua(Siri) aitoe ili apate relief ,nionavyo mimi kwake Lowassa SIASA ni YEYE na YEYE ni SIASA.,hivyo basi kama anafikiria kuwa anafanya jitihada zozote za kuwa Rais wa Tz hapo baadae..aendelee na jitihada kwani hayo ndio maisha aliyochagua(SIASA)...Kumbuka lowassa binafsi utendaji wako nilikuwa naupenda sana ulikua unaendana na kasi ya vijana..Thinkers!..Jacob Zuma alikua na Scandal ya Uzinzi kabla hajawa Rais wa South Africa..ultimately ndie Rais wa sasa wa nchi ya MADIBA...tueleze siri Lowass tutakuunga mkono....Ni mawazo yangu...Dr Know how.

    Page 30 of 60 FirstFirst ... 20282930313240 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?
      By Mchambuzi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1608
      Last Post: 29th February 2012, 02:10
    2. Slaa na Zitto nani anafaa kuwa mgombea chadema 2015,
      By janja pwani in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 10
      Last Post: 3rd September 2011, 13:57
    3. Replies: 16
      Last Post: 13th July 2011, 13:50
    4. Kagame anafaa kuwa rais wa tanzania
      By tunduma in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 24th March 2011, 14:59

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...