wordpress

  1. rutajwah

    Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni self taught web/wordpress developer Natafuta kazi kama website/wordpress developer Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time. Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development...
  2. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu. Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
  3. djwakibajaji

    Msaada wa Blog niche ambazo ni rahisi kurank 1 position google search

    Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO. Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko. Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger...
  4. Ntiyakama

    WordPress

    Hello Tech, Someone to help please. I'm using WordPress but recently this massage appared. "This site can’t provide a secure connection afyapin.com uses an unsupported protocol. ERR_SSL_VERSION_OR_CIPHER_MISMATCH" I cant even login in my site admin. PLEASE HELP 🤝.
  5. S

    Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  6. D

    Premium blogger template yenye custom domain vs WordPress

    wakuu poleni n majukumu. wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja wordpress which is better?
  7. tzhosts

    Jinsi ya kujiajiri kupitia wordpress

    Je Umewahi kusikia kuhusu Wordpress? Kama hujawahi basi ni kujuza tu kwamba wordpress ni content management system(CMS) kwa ajili ya website.CMS ni mfumo maalum ambao unamwezesha mtengenezaji wa tovuti kusimamia maudhui ya tovuti yake kwa urahisi.Wordpress ni nzuri sana kwa kusimamia blogs...
  8. Iziwari

    Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

    Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju. Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni...
  9. tzhosts

    WordPress hosting training

    Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress? Kama Jibu ni ndiyo basi fursa hii inakuhusu. Utajifunza yafuatayo: Basic Introduction to Websites and Webhosting...
  10. NgimbaErick

    Njia Bora ya Kutengeneza Website Bure kwa Kutumia Wordpress (kama huna fedha kabisa)

    Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona ina uafadhali katika kutengeneza website Bure. Maana, kuna njia nyingi lakini, katika hizo nyingi zao...
  11. C

    Msaada wa wordpress na Besa theme

    Habari zenu ndugu! Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version. Yaani nikiweka kwenye mobile view, hio site ina display header nyengine kabisa ambayo hata haifanani na...
  12. T

    Tunatoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) kwa bei nafuu

    Tunatoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) kwa bei nafuu. Tunahudumia wateja mikoa yote na hata nje ya nchi. Malipo ya kutengeneza tovuti unalipa baada ya kazi kukamilika Tumenefanya kazi na wateja kutoka mikoa mingi ya Tanzania na nje ya nchi pia (Canada & Sweden). Bei > TZS 450,000...
  13. R

    Msaada WordPress, nimekwama

    Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima. Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia. Nimeangalia baadhi ya free themes...
  14. Samedi Amba

    WordPress training and Mentorship

    Habari wanaJF, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta wanafunzi ishirini ambao nitawafanyia training na mentorship katika eneo la web design and development. Unaweza uwe ni mwanafunzi wa chuo, mfanyakazi, au hobbyst ambaye ana interest ya web design. Kwa kutumia...
Back
Top Bottom