wizi mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wizi wa salio kwenye M-PESA wakati unanua vifurushi

    Habari! Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja? Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
  2. Gily Gru

    Nimeibiwa ID identity

    samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu. Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why? My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
  3. ndege JOHN

    Kaa chonjo utapeli umeshika kasi

    Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio. Akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua). Kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga...
Back
Top Bottom