vitu vya ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  2. DR HAYA LAND

    Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

    Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni. Gesi Godoro Nk aje nipo DSM Temeke
  3. D

    Nahama, nauza vitu vya ndani

    Niko Dodoma Sofa watu 8 Sh. 680k Subwoofer 120k speaker 3 base ya 4 Showcase 280k NB: Vitu vyote vina miezi miwili tu Watsap 0715140001
  4. Tajirimsomi

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar to Tanga

    Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
  5. D

    INAUZWA Nahama nauza vitu vya ndani

    Niko Dar es Salaam - Upanga Kabati la vyombo 180,000 Kabati la nguo 180,000 Sofa watu 7 - 400,000 Meza watu 4. call/sms 0752140000, 0787215011
  6. BrazakakaBura

    Nauza vitu vya ndani

    Nauza showcase 170k, sofa 130k, feni 35k, router 45k niko Africana Mbezi beach
  7. ankol

    Biashara ya vitu vya ndani

    Nawasalimu waungwana. Nimetenga kiasi cha pesa 10m niweze jiajiri kwa kuuza vitu vya ndani kama ma carpet, ma duvet, mito, mapazia like kama unavyoyaona maduka ya home shopping center. Nachoomba kutoka kwenu ni ABC ya biashara hii. Je nitatoboa? Location ni Sinza karibu ya Palestina. Mwenye...
Back
Top Bottom