unlock

  1. Meneja Wa Makampuni

    Fungua (Unlock) radio ya gari lako iliyojifunga na CarRadio Unlock Solutions

    Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako. Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako. Karibuni. Ni sisi CarRadio Unlock Solutions.
  2. King Sae

    Msaada wa ku unlock iPhone, nimesahau passcode

    Sina mengi ya kuandika, msaada kwenye tuta hizi simu zengine basi tu
  3. Kilimbatzz

    Natafuta unlock codes za Samsung Note 10 5G

    Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
  4. plan z

    Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  5. Mr Kazembe

    Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  6. Kurunzi

    Msaada Unahitajika Jinsi ya Ku Unlock ZTE Moderm

    Wataalamu, ninaomba msaada jinsi ya ku Unlock ZTE Moderm nimejaribu kuseach kwenye google nimekwama kabisa. No ya Moderm ni EVDO AC ZTE 8710 PID:V3 Picha zipo chini Natanguliza shukrani za dhati
  7. Mr Snow

    Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

    Habari wakuu, Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372.
  8. Abu Haarith

    Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  9. QUALIFIED

    Network unlock

    Habari wakuu, Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali. Imei yake 351838090697861.
  10. Scars

    Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
  11. M

    Education is a key that doesn’t fit to unlock economic opportunities for the youth

    (Please read it to the end...we are facing the same problem). Education is a key that doesn’t fit to unlock economic opportunities for the youth Alupheli | 02 December 2020 Many people from the black community get their degrees each year and hope for a job, not even a good paying job. Times...
  12. emanuel joseph

    Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. Slow learner

    Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  14. M

    Jinsi ya kuondoa Activation lock (Icloud unlock) kwenye iPhone

    Habari wandugu, Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc. Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani baada ya kuondoa iweze kupokea latest ios update na pia waweza reset. Naomba kuwasilisha
  15. Zuia Sayayi

    FBI yafanikiwa kufungua (Unlock) na kutoa taarifa za kwenye simu iliyokuwa ikitumiwa na gaidi Syed Farook

    Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21), Hatimaye FBI yafanikiwa kuingia kwenye iPhone iliyokuwa ikitumiwa na Syed Farook aliyehusika na tukio la kuwamiminia risasi na...
  16. e2themiza

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
Back
Top Bottom