tembea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ward41

    Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  2. bongo dili

    Mtu akitembea na mkeo nawe tembea na mkewe wake

    Na uchungu sana. Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi. Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa. Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza. Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa...
  3. Uwesutanzania

    Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  4. LA7

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  5. Nyendo

    Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  6. MK254

    Dah! Tembea uyaone, sikujua barabara za Kenya zimeboreshwa kiasi hiki

    Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana nimekatiza kutokea gatuzi za Magharibi hadi Nairobi, barabara zimetanuliwa na kuboreshwa aki ya nani mpaka...
  7. Crocodiletooth

    Tembea ujionee

    Ujenzi wa aina yake!
  8. Dit000

    Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

    Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
  9. Mzigua90

    Tembea uone

    Habari zenu. Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi. Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa". Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa...
Back
Top Bottom