tegeta escrow

The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi mzee Rugemalira amesema yeye hajalipwa fedha yoyote kutoka account ya Escrow bali alilipwa na PAP. Rugemalira amesema amemuandikia barua Gavana wa benki kuu Prof. Luoga kumtaka awataje hadharani wanufaika wote wa Escrow ili taifa liwajue. Gavana amesema atawataja...
  2. figganigga

    Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

    MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
  3. Pascal Mayalla

    Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

    Wanabodi, Preamble Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia tuu, anaamka na kuendelea na safari yake, hivyo huko mbele atakuja kujikwaa tena pale pale...
Back
Top Bottom