smile

  1. Suley2019

    Vodacom Tanzania yainunua kampuni ya Smile kwa Tsh. Bilioni 68.8 ili kuongeza usambazaji wa mtandao wa 4G na 5G

    Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4 milioni), ili kusaidia mipango yake ya kuzindua huduma za mtandao wa 4G na 5G zinazoshindana...
  2. BARD AI

    Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo...
  3. M

    Don't Open This Article If You Can't Control It: See 30+ Photos That Will Make You Smile Today

    1) 2) 3) Anytime you read it, you have redeemed another five minutes for me. 4) When you finally understand it, we have gone far already. 5) I know what an African dad can do here. 6) You dare not watch those kind of adverts in front of your parents.7) We all know how it will end. 8)...
  4. sky soldier

    Je, mtandao wa Smile umefunga virago Tanzania?

    Network haipatikani. Website yao haifunguki. Simu hawapokei. Page zao za facebook na insta zipo kimya tangu october. Kuna waliolipia vifurushi vya mwezi, siku zinaenda tu na hua hawafidii vifurushi network ikikata.
  5. Z

    Mtandao wa Smile ni kweli na nyie mmeanza wizi?

    Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao. Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za...
  6. M

    Top Ten (10 )Businesses that can make you smile all the way to the Bank

    1. Barber saloon. Lots of Nigerians are much skillful and very creative but they keep ignoring this business. Starting up a local saloon is not tedious and it quite affordable. 2. Farming. A lot of farms are presently springing up in both rural and urban areas in Nigeria people are investing...
  7. S

    Smile we care

    *SMILE WE CARE (SWC)* *Inafanyaje kazi?* Unapotoa pesa ya kufungulia account yako *$10 = Tsh 23,000/=* Usajili wako utakamilika muda mchache sana Na papo hapo unakua member tayari, *Stage ya awali INDUCTION STAGE* 👷🏼 👷🏼. 👷🏼 👷🏼 👷🏼 👷🏼 👷🏼 Unapaswa...
  8. Sky Eclat

    Newborn Baby Greets Dad With A Beaming Smile The Instant She Recognizes His Voice

    Fathers and daughters seem to have some special bond, and the story of Flávio Dantas, of Rio de Janeiro, Brazil, is another proof of it. This father was so excited to meet his daughter, that he spoke to her all the time, even when she was still in her mother’s belly. Tarsila Batista, his...
  9. A

    Wewe sio mtu wa kufeli siku zote, ni kipindi cha kupita tu

    Bila kujali kiwango cha Elimu yako, mali na pesa zako au idadi ya watu wanaokuzunguka. Kuna nyakati unaweza kuzipitia na kujiona wewe ni mtu wa kufeli zaidi kuliko wote duniani. Sio wewe pekee, bali kila mtu unaemuona, anaweza kupita katika nyakati hizo pia; Na katika uhalisia, asilimia kubwa ya...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tatizo la Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi (Ectopic Pregnancy)

    Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama...
Back
Top Bottom