passo

  1. H

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo Naomba kufahamu ubora na changamoto za Passo. Picha: Toyota Passo
  2. H

    NAOMBA KUJUZWA ZAIDI KUHUSUTOYOTA PASSO

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo Naomba kufahamu ubora na changamoto za Passo. Picha: Toyota Passo
  3. Samatime Magari

    🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  4. W

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    Habari nauza toyota Passo Maelezo : Toyota passo Cc 990 Piston 3 Rangi Pearl New tyres Full ac Iko kwenye hali nzuri kabisa ,Haina changamoto yeyote , Price : 6M MAWASILIANO: 0754200363 Wahi chap
  5. jerryempire

    Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Habari wandugu na wataalamu, Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip? Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda...
  6. Balqior

    Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

    Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo...
  7. GwaB

    Gari aina ya Passo Vits na Ist, Moja kati ya hizo inatafutwa

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti million tano. Karibuni. 0715354646
  8. Francis fares Maro

    Passo inauzwa

    Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
  9. Ramon Abbas

    Car4Sale Toyota Passo no D kwa 3.0 mil only

    Car in good condition Available all the time in Dar Price; 3.0 mil Call: 0683011003
  10. Excel

    Toyota Passo kwa 2.6 million only

    Toyota passo inauzwa kwa bei poa Engine cc 990 Year made 2004 Rangi: Grey iko full AC yani hamna tabu Bei: milioni 2 na laki 6 tu. Gari iko kimara nicheki 0683011003 tumalize biashara
  11. nentewene

    Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
  12. malika123

    Car4Sale passo 7mil 0719444553

    43,000km cc 1200 location Dar es salaam gari ni mpya, (diplomatically used) 0719444553
  13. K

    Natufuta vitz, passo au starlet, budget Tsh4 mil

    Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga. Kwa walio serious...
Back
Top Bottom