nchi yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nakulilia Congo nchi yangu

    Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral resources. You can pick up any mineral from the soil in Congo. Congo has the capacity to supply the...
  2. Jafari Haruna

    Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  3. Mwande na Mndewa

    Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  4. Siri yangu

    Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  5. Shilingii

    Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  6. Mabula marko

    SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  7. Mabula marko

    SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  8. Mabula marko

    SoC03 Nikufanyie nini ee nchi yangu kipenzi?

    Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora Zaidi kwa kila mtu kwani kaswahili alichoshwa sana na malalmiko ya wazazi wake pamoja na wazee wa pale...
  9. uttoh2002

    Nachukia Nchi yangu - Serikali ijirekebishe

    Kwa kweli nachukia mambo yanayoendelea kwenye nchi yangu na uonevu mkubwa wa mifumo yetu. Niwape pole sana kwa report mbaya ya CAG, ila pia niseme kisa changu kinachoula moyo wangu. Nilikuwa nina safari ya Mbeya ya kikazi na gari langu, kweli ni my dream car na nimelinunua kwa gharama na...
  10. Wilson Gamba

    Nchi yangu Tanzania

    Habari wanajf? Ifikie hatua hii nchi iweke namna ya kudili watu wanaoihujumu nchi yetu siyo Kila Mara ripoti ya CAG iwe inasononesha watu mitima yao. Kuna watanzania wana matatizo mengi Ila wanajitoa kuchangia Kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao alafu wajanja wachache ambao wameaminiwa...
  11. marehem x

    Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  12. S

    Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  13. Pascal Mayalla

    Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama...
  14. Mpekuzi Tanzania

    Tanzania nchi yangu, tuna safari ndefu

    Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza. Baada ya ajali ya ndege siku tatu kulikuwa na povu povu kuhusu uwajibikaji, Leo matokeo ya Yanga yameshabadili upepo na stori...
  15. K

    SoC02 Nchi yangu katika mapinduzi ya kiuchumi

    JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa...
  16. M

    SoC02 Serikali achana na tozo jaribuni na hii

    Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara. Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf. Madini, gesi, utalii, bandari n.k. Haiwezekani madin yetu wachimbe wazungu afu sisi tupewe gawio hii inaikosesha serikali pesa ambazo zingefuta...
  17. Kendrick de hustle

    SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

    Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿. Kwenye sketa ya ELIMU. Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama...
  18. X_INTELLIGENCE

    Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
  19. Pascal Mayalla

    Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  20. Ugumu wangu

    Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
Back
Top Bottom