mzee mwanakijiji

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rafiki, leo tunaishi katika siku ngumu na mambo magumu sana sisi, nchi na taifa letu la uturuki

    MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA. TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA WAKO. HAYA NI MAJUKUMU YA SERIKALI. PIA NI VITA KUBWA VYA HAKI NA KUSHINDWA. 🔴 ACHANA NA VITA VYA...
  2. mud-oil-chafu

    SQL injection..

    SQL Injection (SQLi) is a type of an injection attack that makes it possible to execute malicious SQL statements. These statements control a database server behind a web application. Attackers can use SQL Injection vulnerabilities to bypass application security measures. They can go around...
  3. Mapambano Yetu

    Somo la TEHAMA linafundishwa shule za Msingi, kwa nini Sekondari halifundishwi?

    Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
  4. RUSTEM PASHA

    Swali: kwa nini Mzee Mwanakijiji hampiganii Magufuli kama ilivyokuwa 2015?

    Bado naendelea kutafakari kwa nini mzee wetu MM, hampiganii Magufuli kama ilivyokuwa 2015?. Maana kipindi kile aliweza mpaka kurikodi audio akichambua udhaifu wa LOWASA, huku akichagiza tumchague Magufuli. Lakini baada yakuanza kampen za uchaguzi huu, sijafanikiwa kuona hata thread yake moja...
  5. M

    Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Umofia kwenuuu wanabodi! Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
  6. S

    Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

    wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
  7. M

    Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

    SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam. Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi. Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
  8. Jesuitdon

    Vatican inamiliki dunia

    KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi nishangaza kuhusa kanisa Katoliki ni uwepo wa hawa Masister wenye DOWNS SYNDROME sijawahi ona dini...
  9. neophyte

    Safisha maji na upate ladha nzuri ya maji

    PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na chembe ambazo ni ndogo mara 500 kuliko nywele. kinauzwa kwa bei ya punguzo ambayo ni 130,000/= piga...
  10. Ufunguo

    Utajiri wa Mohammed Dewji (MO) na Kampuni ya MeTL umechangiwa na maamuzi ya Serikali ya awamu ya tatu

    Mnamo mwezi wa 06 mwaka 2018, Mohammed Dewji alifanya Mahojiano na mwandishi mashuhuri wa maswala ya biashara ndugu MFONOBONG NSEHE (http://www.campdenfb.com/author/mfonobong-nsehe). Mahojiano hayo yalichapishwa tarehe 19/06/2018 katika tovuti ya CampdenFB.com...
Back
Top Bottom