mbaazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street brain

    Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF, Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu. Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...
  2. K

    Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  3. M

    Anayemuona Sawadogo ni Galasa Simba SC atupishe tunaoujua Mpira na akalime Mbaazi Kijijini Kwao

    Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo Mbukinabe Ishmael Sawadogo. Kinachomgharimu kwa sasa japo taratibu kinaanza Kuondoka ni Uzito...
  4. ladyfurahia

    Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    Habarini wadau wa hapa. Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi. Karibu sana.
  5. ladyfurahia

    Naombeni Kufahamishwa Soko la Mbaazi

    HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
  6. I

    Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  7. Ze Bulldozer

    TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

    NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni...
  8. M

    Tunduru, Ruvuma: DC Mtatiro anusurika kushambuliwa kwa mawe, wakulima wa mbaazi walalamikia zao hilo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi

    Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
Back
Top Bottom