Pichani ni chalii mwenye miaka29 amenyakwa na polisi nchini Zambia kwa kumnyandua mdada ambae ni mgonjwa wa akili.
Kwa mujibu wa shuhuda ambae ni jirani wa hiyo njemba amesema sio mala ya kwanza ni kawaida yake iyo njemba kila siku usiku huwa inaenda kumdownload manzi huyo ambae dishi lake...
Mwili wa aliyekuwa mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri...
Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi sasa kama DJ bora barani Afrika.
Pia amekuwa akiburudisha Nje ya nchi kama South Afrika, Marekani...
Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.
10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3
9: Jidenna,Nigeria billion 2.3
8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)
7...
Baada ya Kujifunza lugha ya malkia nimefanikiwa kuiva kabisa,Angalieni navyoongea"You know sometimes circumstance issues,Specimen and Couldn't I speak it?Wouldn't she?Pharmacy me!Wife material"Mmeona sasa?simple as easy namna hiyo,wiki ijayo napanda ndege load to CNN,Dua zenu wakuu nipate ajira
Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva,
List angu ilipata majina shazi lakini mojawapo ya majina niliweza kuwapata Wasanii ambao kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.