Lori (Armenian: Լոռի, Armenian pronunciation: [lɔˈri] (listen)), is a province (marz) of Armenia. It is located in the north of the country, bordering Georgia. Vanadzor is the capital and largest city of the province. Other important towns include Stepanavan, Alaverdi, and Spitak. It is home to the UNESCO World Heritage Sites of Haghpat and Sanahin monasteries and the well-preserved Akhtala monastery, where Armenians, Georgians, and Greeks make an annual pilgrimage on September 20–21.The province was heavily damaged during the 1988 Armenian earthquake.
The province is served by the Stepanavan Airport.
Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitokea Somanga kuelekea Kilwa Mkoani Lindi kugongana uso kwa uso na lori la mafuta leo April 22,2024 katika Kijiji cha Somanga.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi...
Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema...
Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga.
Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
Tahmeed Bus kutoka Busia kuelekea Mombasa imegongana uso kwa uso na Lori la mafuta karibia na High School ya Mundika.
Inasemekana kuna vifo na marejuhi baada ya Basi kulipuka.
---
Two people dead, 5 hospitalised after fuel tanker collides with bus in Busia
Two people have died as five others...
Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo.
Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd.
Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake .
Video...
Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi.
Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga.
Akizungumza Mara baada ya kukabidhi Misaada hiyo Mwenyekiti Chatanda amesema...
Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja...
Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu
Kwa maana. Kiuchumi...
Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha.
Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura.
Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami.
Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
Wanabodi
Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!.
Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update.
Paskali
Update
Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
Lori lenye mifuko ya Saruji limetekea kwa moto katika eneo la Tegeta Kibo Jijini Dar es salaam leo Februari 06/2023
Hakuna madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa kutokana na moto huo
Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
====
Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea.
---
Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam
Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.