le mutuz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  2. Pascal Mayalla

    Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  3. Teknocrat

    Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz. Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
  4. Dr Matola PhD

    Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
  5. Wadiz

    Hayati William "Le Mutuz" Malecela ni mfano wa kuigwa kwa watu wenye akili kubwa

    Le Mutuz ulale kwa amani Kaka. Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako. Hukubweteka na hadhi ya Baba yako...
Back
Top Bottom