lapf

  1. M

    Na hili la asilimia 33% mafao uzeeni badala ya asilimia 25% (kwa iliyokuwa PPF na NSSF) na badala ya asilimia 50% (kwa iliyokuwa PSPF na LAPF)

    Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
  2. Chendembe

    Kulikoni wastaafu wa mfuko uliokuwa LAPF!

    Wanabodi, tunafahamu awamu ya tano iliunganisha mifuko ya pension nchini ambapo Mfuko wa LPAF ni miongoni mwa iliyoathirika na Hilo. Kutokana na Hali hiyo, Mfuko wa LAPF umejumuishwa katika Mfuko wa PSSF. Mshangao wangu ni kuona watumishi wa iliyokiwa LAPF kutolipwa kwa muda mrefu wengine...
  3. R

    Msaada LAPF kuhusu fao la kujifungua

    Habar zenu ndugu zangu?.Natokea wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, naombeni msaada wa mawazo na muongozo kwa wale wanachama wa LAPF. Nilijifungua mwaka Jana 10/8/2018 nilijaza fomu na kuweka viambatanisho vyote kudai fao la uzazi. Tarehe 5/9/2018 barua zangu zilipokelewa ofisi za LAPF mwanza...
  4. Roving Journalist

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea. Viongozi wa vyama vya...
Back
Top Bottom