kuroiler

The Kuroiler is a hybrid breed of chicken developed by the Keggfarms Group in Gurgaon, Haryana. Kuroilers are derived from crossing either coloured broiler males with Rhode Island Red females, or, White Leghorn males crossed with female Rhode Island Reds.

View More On Wikipedia.org
  1. Snapdragon 8

    Vifaranga vya Kuroiler F1 Vinahitajika Singida

    Habari wanajamii forum nahitajo Vifaranga vya kuku aina ya kuroiler kuanzia wiki nne nipo singida
  2. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Habari za kazi waungwana. Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo. Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai? Shukrani za awali.
  3. N

    Jipatie Kuku aina ya Kuroiler F1 kwa Nyama ama Kufuga

    Habari! Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1(Ni chotara, wazito na wamejaza minofu), tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na...
  4. N

    Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  5. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  6. Afrika_Bora

    Ni wapi au kampuni gani inajishuhulisha na uuzaji wa kuku aina hii ya Chotara Kuroiler ambao ni uzao wa kwanza F1?

    Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida. Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai mengi au/na pia kuwa na miili mikubwa kwaajili ya nyama. Hivyo kumfanya mfugaji wa kibishara kupata...
Back
Top Bottom